Recent content by D Nyamhanga

  1. D Nyamhanga

    Nahitaji gunia 110 za vitunguu maji vilivyokauka vizuri

    Mkuu hata usihangaike kitunguu nzuri ipo Mpwapwa na hata hivi sasa kuna nyingine ndio kwanza inatoka shambani nitafute tufanye biashara utafurahi 0627471648
  2. D Nyamhanga

    Nahitaji gunia 110 za vitunguu maji vilivyokauka vizuri

    Habari mkuu Unaweza kupata hata zaidi ya hzo mm niko mboli wilaya ya Mpwapwa ,kuhusu usafiri hilo halina shnda na nikizuri kama unavyo hitaji.tafadhali tunaweza kuwasiliana kwa 0627471648
  3. D Nyamhanga

    Pendekezo: Tuunde umoja wa wakulima humu JamiiForums

    Na hilo ndo tatizo kubwa kwa wakulima weng,we must come with real solution katika huo umoja wetu,nilazima tujue njia nzuri za kuuza na nnan haswa tutamuuzia hicho tutakacho kuwa tunakilima,soko lbaweza kuwepo ckatai ila kama hatutaweka mikakati mzuri kuhusu masoko tutaisshia kupata hasara.
  4. D Nyamhanga

    Pendekezo: Tuunde umoja wa wakulima humu JamiiForums

    Mashamba yapo mkuu,mm niko shehemu moja wanapaita Tambi,n nje kidogo na Mpwapwa mjini
  5. D Nyamhanga

    Pendekezo: Tuunde umoja wa wakulima humu JamiiForums

    Nikwel boss nyanya kweli nichangamoto na nilijaribu kulima msimu wa mvua mwaka jana ila matokeo hayakua mazuri sana kwan niligundua ckuwa na bajeti ya kutosha,hata hivyo wazo juu ya hoho ama nyanya chungu nalo nalipokea ila ningependa unijuze zaidi juu ya soko lake
  6. D Nyamhanga

    Pendekezo: Tuunde umoja wa wakulima humu JamiiForums

    Nnaeneo la zaidi ya hekari 1 lenye rtuba na udongo mzuri sana, lko karibu na mto unatumia mpira mita 50 tu nanina mashine ya kumwagilia niko Mpwapwa,mcmu huu wakiangaz nlilima mahindi.kwasasa ningependa kulima nyanya msimu huu wa masika ila mtaji wangu hautoshi kwa ambae atapenda tushirikiane...
  7. D Nyamhanga

    Pendekezo: Tuunde umoja wa wakulima humu JamiiForums

    Wazo zuri sana ila mm niko kwenye kilimo mwaka wa 2 huu na ninaweza kusema nnauzoefu angalau,ninachokiona hapo ni kuhusu changamoto za masoko baada ya kulima ikiwa kama huo umoja wetu unaweza kutatua tatizo la masoko itakuwa vyema sana. Nb.ninaposema masoko na maanisha kuwa na masoko ya uhakika...
  8. D Nyamhanga

    Naomba ushauri juu ya biashara ya kuuza maharage

    Mm niko Mpwapwa na ninafanya hii biashara kama utakuwa interested naweza kuwa nakuuzia kwa bei nafuu na ww ukatafute soko
  9. D Nyamhanga

    Ushauri: Mahindi ya Kuchoma

    Hongereni nyote mm ya kwangu ni DK yako tayari na ninatafuta mteja niko Mpwapwa Dodoma ndo,nilizoea kulima nyanya ila niliamua kujaribu na mahindi nione nmelima kama hekar 2 na nusu.kama kuna mtu ana conection ya wateja tafadhar tujuzane.0627471648
  10. D Nyamhanga

    Ushauri: Mahindi ya Kuchoma

    Hongereni nyote mm ya kwangu ni DK yako tayari na ninatafuta mteja niko Mpwapwa Dodoma ndo,nilizoea kulima nyanya ila niliamua kujaribu na mahindi nione nmelima kama hekar 2 na nusu.kama kuna mtu ana conection ya wateja tafadhar tujuzane.0627471648
  11. D Nyamhanga

    Laki tano tu unaweza badilisha historia

    Mkuu niko mpwapwa maji ni mengi kuna mashamba mazuri na mito inayo tiririsha maji mwaka mzima na wenyeji hawajaamka sana,najishungulisha na kilimo huku nilikuja mwaka jana nnauzoefu wa kutosha kiasi cha kujua hzo laki tano hazitatosha tikiti heka 2 ila nizao linaloweza kustawi vizuri tu huku
  12. D Nyamhanga

    Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

    Nina mahindi mabichi (gobogobo)zaidi ya hekar 2,mbegu ni Dk, niko Mpwapwa Dodoma kama kuna mtu anahitaji tuwasiliane 0627471648.Asante
  13. D Nyamhanga

    Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

    Nina maharage njano goroli mazuri sana,niko mpwapwa Dodoma, kama kuna mtu anahitaji anichek kwa namba 0627471648
  14. D Nyamhanga

    Biashara ya Michezo ya Video (Video Games): Jifunze Uendeshaji, Changamoto na Faida Zake

    Mkuu inaonyesha unajua hii biashara vizuri vp kuhusu wanachosema juu ya mapato?natamani kuifanya ila juu ya changamoto zake na je znakabilika
Back
Top Bottom