Recent content by D-Guide

  1. D-Guide

    JamiiForums Tanzania Mdogo wangu Eeh! Kuoa mwanamke ambaye familia yake imekuzidi kila kitu ni mtihani sana. Usithubutu!

    Hao wakishua, au kama alivyowaita, “get kali”, watoto wa Daddy this, Daddy that… Daddy hivi, Daddy vile...mimi sishangai sana alivyoshitaki kwao, a.k.a. kwa Daddy. 😅 Issue ambayo kwa kawaida inaweza kuonekana ndogo na ya kuvumilika kiuswazi au kiutawala, kwao inaweza kuwa kubwa sana. Kwa hiyo...
  2. D-Guide

    JamiiForums Tanzania Mafanikio yako hayategemei umezaliwa katika mazingira gani.

    Hapo mkuu, hatujaenda sawa kabisa. Hata mtu akisoma hii kauli bila kusoma story yote, bado si kweli kusema mafanikio ya mtu hayategemei mazingira aliyotokea. Kwa uhalisia, mafanikio yanaathiriwa sana na mazingira unayotokea, ingawa mazingira hayaamui kabisa hatima au mwisho wako. Tukisema hivo...
  3. D-Guide

    JamiiForums Tanzania Ukweli usiopingika kuhusu wanaume

    Kama mahusiano sio mambo ya msingi, mbona yanachanganya mpaka kufikia kuboa hadi misingi ya hayo mambo unayoyaona ya msingi. Kwa kifupi ni muhimu sana kuelewa sanaa yake, maana yamemaliza sana hatima ya wengi.
Back
Top Bottom