Binti anayefahamika kwa jina la Irene, mwenye umri wa miaka (24), mkazi wa Mtaa wa Lemara, Kata ya Lemara, Jijini Arusha, amefariki dunia baada ya kudaiwa kujeruhiwa kwa chupa wakati akiwa pamoja na wenzake katika eneo la The HUB.
Mama mzazi wa Irene, Mariam Selemani, amesema marafiki wawili wa...
Bilionea wa Nigeria Aliko Dangote amezindua uuzaji mkubwa wa hisa kuwahi kufanyika barani Afrika, kupitia mauzo ya hisa ya IPO katika kiwanda chake cha kusafisha mafuta.
Dangote analenga kupata zaidi ya dola billioni 2.1 kwa ajili ya upanuzi wa kiwanda hicho.
Dangote ambaye ndiye mtu tajiri...
Hapo we ndo wa kulaumiwa. Mda huo unakopakopa chooni,ulitakiwa kuondoka na kuwaachia bill yao. Hiyo hela ungetafuta dada poa,ungejipigia na kusepa bila hata kuombana namba ya simu
Kipindi cha likizo form three hio, Sina hili wala lile akaja rafiki yake bi mkubwa na mwanae.
Huyo mwanae alikua katoka kung'oa jino, so walipitia nyumbani kumuacha pale alafu amchuke maza wangu waende msibani .
Sasa nimebaki home na hiyo pisi iliyo toa jino na house gal. Hio pisi ilikua form...
Nyoka akiingia ndani ya nyumba, mkeo na watoto watakimbilia mgongoni kwako..
Kimsingi wanaamini wewe ndio una uwezo wa kupambana nae..
Lakini kikanuni, hata wewe una hofu, na unajua kuwa huyo mdudu humuwezi..
Kwa lugha rahisi, wa kwanza anaetakiwa kufa humo ndani, ni wewe brother..
Ukikimbia...
Kuna watu,na mi nikiwemo(Mafundi) nyumba unakuta imejaa vitu. Vingine tukipita njiani vimetupwa,hata kama ni wire,tunaokota na kuweka ndani.
Ukiangalia cha thamani ni kipi,hakuna.
Japo kuna wakati vinatuokoa.
Kwa wale waliopanga, siku ya kuhama, mizigo anajaza gari,lakini ukitafuta cha maana...
Mafundi simu wanatumia. Funga kwenye vidumu vya lita 1 tu. Hao uhakika. Ila kama ulizoa chini kabisa na yamechanganyikana na udongo, peleka Airport😂🤣🤣🤣
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.