Recent content by CyberTz

  1. CyberTz

    Haja ya vyuo vikuu na vyuo vya kati kuandaa mazingira bora ya wanafunzi kujifunza kwa vitendo katika masomo yao

    Kumekuwa na wimbi kubwa la wahitimu wa vyuo vikuu na vya kati kuhitimu elimu zao bila kuwa na ujuzi wa kivitendo katika taaluma walizozichagua. Hali hii imesababisha changamoto kubwa mitaani, hasa katika mchakato wa kutafuta ajira. Nitazingatia zaidi upande wa kada za teknolojia. Hii ni...
  2. CyberTz

    M23 na Rwanda wakamata rasmi Kivu Kusini na Bandari zote za Ziwa Tanganyika DRC. TISS na JWTZ endeleeni tu kuwa migambo ya CCM

    Hapa chawa wa UVCCM na bibi/babu zao hawawezi kuelewa hili hata siku moja maana wote akili ziko kwenye makalio
  3. CyberTz

    KERO Responded Tatizo katika uhakiki wa vyeti kwa wanafunzi wanaoomba Mkopo na huduma za RITA kwa ujumla

    Habari wanajukwaa. Kuna changamoto tunapitia katika uhakiki wavyeti vya kuzaliwa kupitia RITA. Wengi tupo katika mchakato wa kuomba mkopo wa elimu ya juu lakini kikwazo kimekuwa kwa RITA. Mimi binafsi nina wiki ya 2 sasa kuelekea ya 3 cheti hakijahakikiwa na nimeshalipia. Mbaya zaidi hata...
Back
Top Bottom