Recent content by CuteArian

  1. C

    JamiiForums Tanzania Ex girlfriend wangu kanenepa sana mpaka nimesikitika

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  2. C

    JamiiForums Tanzania Ex girlfriend wangu kanenepa sana mpaka nimesikitika

    Kabisaaa watuache[emoji23][emoji23][emoji23]
  3. C

    JamiiForums Tanzania Ex girlfriend wangu kanenepa sana mpaka nimesikitika

    Mm sijawahi waelewa hawa wanaume mara oooh nenepa kidg angalau uwe na vinyamanyama, mara ooh wembamba ndio dili, mara hatutaki flat screen uwe na tako bhana, hatujakaa sawa utaskia mmh sura yenyewe ile tunataka rangi ya chungwa, siku haijaisha Eee bhana nataka mtoto waiti! mguu wa bia sijui nn...
  4. C

    JamiiForums Tanzania Nimeshuhudia wizi wa ajabu huku kwetu

    Mmmh hao Wezi kweli akili zao ziko mattercorn[emoji23][emoji23]
  5. C

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kumpenda usiyemfahamu kwa sura?

    Nimekoma[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  6. C

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kumpenda usiyemfahamu kwa sura?

    Omba sana Mungu kitu kiwe halisi kiendane na uchofikiria[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  7. C

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kumpenda usiyemfahamu kwa sura?

    Nimejifunza kitu sahv sikubali kabisa Blind date[emoji23][emoji23][emoji23]
  8. C

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kumpenda usiyemfahamu kwa sura?

    kuna vile unataka mtu wako awe vip....kuna zile sifa flani, ....imagine mtu anakwambia anafanya kazi ofisi ya Rais afu siku ya tukio amevaa kama konda wa daladala[emoji24][emoji24][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  9. C

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kumpenda usiyemfahamu kwa sura?

    [emoji23][emoji23][emoji23] Mtu alini PM tukachat tuka fall in love siku ya kuonana Daaaaaa[emoji174][emoji174][emoji174][emoji174] nlichoka mwili na roho sio kitu nilichokitarajia tukaachana hapo hapo
Back
Top Bottom