Recent content by Cute shy

  1. C

    JamiiForums Tanzania YUKO WAPI DOKTA MANGURUWE?

    Yupo jela ana kesi ya utakatishaji pesa, nkmemuona mara tatu anashuka na karandinga kutoka segerea
  2. C

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuwa wakala mkuu wa kusajili line za simu

    Unalipwa kutokana na ac. Ulizofungua ac. 1. Ni shilingi 1000 malipo yako
  3. C

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuwa wakala mkuu wa kusajili line za simu

    Njoo nikupe ya kufungua ac. Crdb
  4. C

    JamiiForums Tanzania Fursa ya Biashara/uwekezaji Katika Utengenezaji wa Pombe Kali

    Nitumie namba dm tuyajenge
  5. C

    JamiiForums Tanzania Uwakala wa malipo katika hospitali/vituo vya afya

    mzunguko wa 10m kwa mwezi ni hela ndogo sana hiyo kwa hospital zenye mzunguko ni ya masaa tu ishaisha, kuipata hiyo kazi uwe wakala pos utanunua mwenyewe, hospital wakiwa na uhitaji wanawambia bank, bank yule mtu anayehusika na mawakala huwa anatangaza mwenye uhitaji unamfata utapata maelekezo...
  6. C

    JamiiForums Tanzania Fursa ya Biashara/uwekezaji Katika Utengenezaji wa Pombe Kali

    Upo wapi tufanye kazi tajiri?
  7. C

    JamiiForums Tanzania Fursa ya Biashara/uwekezaji Katika Utengenezaji wa Pombe Kali

    Inahitajika shilingi ngapi?
  8. C

    JamiiForums Tanzania Msaada namna faida inavotengenezwa kupitia uwakala

    Kaweka mtaji mkubwa faida ndogo, mwambie atafute location nzuri kwa mtaji huo 4m hakosi
  9. C

    JamiiForums Tanzania Ni kampuni gani unanunua mwani?

    Kilo ukiwa umesaga ama bado haijasafishwa?
  10. C

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri juu ya biashara ya uwakala wa fedha kwa Dar es Salaam

    Unapata, ila ufanye kazi siyo mvivu wa kutafuta masalio
  11. C

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri juu ya biashara ya uwakala wa fedha kwa Dar es Salaam

    Ukipata goli zuri mtaji wa hata wa 10m mwisho wa mwezi una 2.5m hukosi
  12. C

    JamiiForums Tanzania Bank gani nzuri kufungua Account kutunza hela?

    Utakachokiweka unapewa asilimia 1 ya kilichopo
  13. C

    JamiiForums Tanzania Bank gani nzuri kufungua Account kutunza hela?

    Amesema anataka kuweka bank itakayokuwa haina makato, hajasema ni biashara
  14. C

    JamiiForums Tanzania Bank gani nzuri kufungua Account kutunza hela?

    Kaweke utt ukiwa na 10m kwa mwezi unaekewa laki 1
  15. C

    JamiiForums Tanzania Nahitaji magunia ya bamia na Nyanyachungu Dar es Salaam

    Namjua analima bamia ana greenhouse
Back
Top Bottom