Recent content by cute mama

  1. cute mama

    Msaada wa sabuni ya kuoshea masofa

    Asante sana, Mungu akubariki Sent using Jamii Forums mobile app
  2. cute mama

    Msaada wa sabuni ya kuoshea masofa

    Acha dharau, hata nguo yako uliyovaa leo ukivua lazima uifue, sasa ndo sembuse sofa linalokaliwa mara kwa mara? Nahisi wewe ni mchafu kweli kwako Sent using Jamii Forums mobile app
  3. cute mama

    Msaada wa sabuni ya kuoshea masofa

    Habari wandugu, Naomba mnisaidie sabuni ya kusafisha masofa ya kitambaa. Asanteni. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. cute mama

    Tiba mbalimbali.

    Ndiyo ninauza, bei inategemea ugonjwa wako. Karibu
  5. cute mama

    Tiba mbalimbali.

    Ndiyo hiyohiyo
  6. cute mama

    Tiba mbalimbali.

    Niko Morogoro, popote ulipo nitakufikia. Karibu sana
  7. cute mama

    Tiba mbalimbali.

    Ugonjwa unaingia mwilini siku moja na unatoka taratibu. Pia unapotumia dawa yoyote lazima umtangulize Mungu. Wapo waliokuwa wamepoza kwa miaka 5, sasa wamenyanyuka, waliokuwa na sukari tena imefika pabaya wamepona. Karibuni
  8. cute mama

    Tiba mbalimbali.

    Habari wapendwa, Katika dunia ya leo kuna magonjwa mengi sana yanayomsumbua mwanadamu ikiwemo, presha, kisukari, kupooza, tezi dume, vivimbe vy kansa, uvimbe tumboni kwa wanawake na mengine mengi. Kampuni yetu ya Alliance imekuja na suluhisho kwa magonjwa zaidi ya 100. Hivyo, kama una tatizo...
  9. cute mama

    Mtoto asiye na hamu ya kula

    Picha na maelezo ya myCHOCO Sent using Jamii Forums mobile app
  10. cute mama

    Mtoto asiye na hamu ya kula

    Picha na maelezo ya myCHOCO Sent using Jamii Forums mobile app
  11. cute mama

    Mtoto asiye na hamu ya kula

    Picha na maelezo ya mychoco Sent using Jamii Forums mobile app
  12. cute mama

    Mtoto asiye na hamu ya kula

    Nashukuru kwa ushauri wako mzuri, basi mwenye kuhitaji aniambie yuko wapi yaani mkoa gani nijue jinsi ya kumpa huduma. Sent using Jamii Forums mobile app
  13. cute mama

    Mtoto asiye na hamu ya kula

    Ok, badae kidogo nikirudi home, nitaweka picha Sent using Jamii Forums mobile app
  14. cute mama

    Mtoto asiye na hamu ya kula

    Imethibitishwa na kampuni ipo kihalali Tanzania ndugu, pia tunalipa kodi TRA. Karibu Sent using Jamii Forums mobile app
  15. cute mama

    ''Imani Kali'' inaitia ndoa/familia yangu majaribuni

    Huyo ni lulu, ukimkataza siku akimwacha Mungu, utajuta, mwache aombe awezavyo. Huoni anaweka ulinzi nyumbani? Ni kweli kama huna macho ya rohoni na kama hujaokoka huwezi elewa. Mungu akusaidie uokoke Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom