Recent content by cute la princessa

  1. cute la princessa

    Nahitaji mwl wa diploma wa Masomo ya MATHS, PHYSICS &HISTORY

    Mm nimemaliza mwaka huu nina bachelor ya education kwenye masomo ya physics/chemistry vip naweza pata?
  2. cute la princessa

    Nyaraka muhimu kwa Maombi ya Kazi; Barua, CV /Resume na Rejea

    Jamani mm nisaidieni namna nzuri ya kuandika cover letter coz sipendi kuandika barua
  3. cute la princessa

    Ni ugonjwa gani huu unitesao?

    Jaribu kutuliza mawazo SAA nyingine stress zinaleta hali kama hiyo
  4. cute la princessa

    Mwalimu wa Physics na Chemistry anapatikana

    Ahsante sana Ndg ngoja nijaribu
  5. cute la princessa

    Mwalimu wa Physics na Chemistry anapatikana

    Nimemaliza mwaka huu Bachelor of education in science kwenye masomo ya physics na chemistry naomba mwenye kujua sehemu yenye nafasi anisaidie ,nipo competent na Nina uwezo Wa kufundisha wanafunzi Wa aina yoyote
Back
Top Bottom