Recent content by Custos Mundi

  1. Custos Mundi

    Kama hakuna katika mafundisho haya yanatokana na Torati au Manabii, yametoka wapi?

    Katika injili zote nne yesu hajasema yeye ni Mungu, so watu wanafosi. Katika injili zote nne hakuna mwinjilisti yeyote anamsimulia Yesu kama Mungu, so watu wanafosi halafu msiiamini sana injili ya Yohana kihistoria!
  2. Custos Mundi

    Kama hakuna katika mafundisho haya yanatokana na Torati au Manabii, yametoka wapi?

    Kama upo knowledgeable mbona hujibu maswali yangu?
  3. Custos Mundi

    Kama hakuna katika mafundisho haya yanatokana na Torati au Manabii, yametoka wapi?

    Kwahiyo unavyoniuliza kuhusu Muhammad mimi muislamu? We unadhani anayekosoa kanisa lazima awe muislamu? Pumbavu kwel wewe!
  4. Custos Mundi

    Kama hakuna katika mafundisho haya yanatokana na Torati au Manabii, yametoka wapi?

    Mimi si muislamu, mimi ni mkristo lakini mimi si mhafidhina kama wewe unayelishwa vitu bila kuhoji! Eti siijui biblia, unachekesha wewe, nimesoma hiyo biblia ambayo wewe unaisoma kwa vifungu mi nimeisoma nzima nzima. Acha kukwepa hoja, jibu maswali yangu ukijibu maswali yangu kwa busara nitajua...
  5. Custos Mundi

    Kama hakuna katika mafundisho haya yanatokana na Torati au Manabii, yametoka wapi?

    Kwahiyo sahizi hakuna manabii wa uongo, wanaotumia jina la Yesu lakini doctrines za makanisa yao ni uchafu?
  6. Custos Mundi

    Kama hakuna katika mafundisho haya yanatokana na Torati au Manabii, yametoka wapi?

    Ni kweli kaka historia ya ukristo inanipa maswali mengi ambayo yanafanya niwe na imani yangu peke yangu japo still ni mkristo ila shida ni kwamba watu wengi hawaijui historia ya kanisa na huwa wanapewa doctrines kama dogma bila kuhoji and they are just comfortable! I refused that path!
  7. Custos Mundi

    Kama hakuna katika mafundisho haya yanatokana na Torati au Manabii, yametoka wapi?

    Unajua mi ni mkristo lakini kuna muda nsikia kinyaa, yaani watu wahangaika kutengeneza dhana ambazo hazijasenwa na yesu hata kwa mafumbo, mara sijui the nicene creed mara sijui transubstantiation ila dah, huwa nachoka na wengine wakajifanya wahafidhina wakachukua maandiko ya biblia kuhusu umbo...
  8. Custos Mundi

    PostGE2025 Kuzimwa kwa Internet kipindi cha Uchaguzi ni ukiukwaji wa haki za Binadamu na imesababisha hasara kubwa

    Kutokana na hali hii ya over-dependency kwenye mtandao wa intaneti nahoji tu ikitokea quantum apocalypse in the near future, manake ndo inatokea total social collapse and probably existential threat kwasababu vita lazima vitokee na ni vita vikubwa kidunia, just imagine that! Au itokee solar...
  9. Custos Mundi

    Kama hakuna katika mafundisho haya yanatokana na Torati au Manabii, yametoka wapi?

    Nina swali la kizushi 😅, kwahiyo kwasababu aliwapa wafuasi wake uwezo wa kutoa pepo ndio anakuwa Mungu? Mbona hivyo ni vipaji vidogo sana vya kumpa Yesu uungu, we sema tu kulingana na maandiko yeye amechaguliwa na Mungu kuwa hakimu na mtawala hizi biashara za uungu mi mkristo lakin nope, hizo ni...
  10. Custos Mundi

    Kama hakuna katika mafundisho haya yanatokana na Torati au Manabii, yametoka wapi?

    Hizo qualities zote ni according to what? Halafu unaijua tafsiri asili ya neno Kristo?
  11. Custos Mundi

    Kama hakuna katika mafundisho haya yanatokana na Torati au Manabii, yametoka wapi?

    Hivi wewe una musc Hivi wewe una confidence kwel ya kupambana na hoja, unajaza maneno mengi nje ya mada, empty rhetorics! Injili ina contradictions and very obvious, unahamisha mada unasema ni utofauti wa lugha na matumizi ya maneno, mi nimeweka wazi hiyo kazi hapo kwenye reply ujibu...
  12. Custos Mundi

    Kama hakuna katika mafundisho haya yanatokana na Torati au Manabii, yametoka wapi?

    Sawa unaweza ukasema ni kweli wayahudi walikuwa na tafsiri yao binafsi ya tabiri za masihi lakin kumbuka hiyo ndio ilikuwa the standard scriptural interpretation na huwezi jua huenda ni kweli manabii walimaanisha hivyo kwasababu katika tabiri zote hizo za ujio wa masihi ziliandikwa in a very...
  13. Custos Mundi

    Kama hakuna katika mafundisho haya yanatokana na Torati au Manabii, yametoka wapi?

    We mwambie tu asome injili zote nne atagundua kuna injili ipo very historical and straight forward hiyo ni ya Markoila hawa wengine wametohoa sana kwa jamaa na Yohana ndio kabisa yeye yupo very spiritual na yeye ndio kaingiza dhana nyingi za uungu wa Yesu, pure make up. Kwanza kuna gepu la kama...
  14. Custos Mundi

    Kama hakuna katika mafundisho haya yanatokana na Torati au Manabii, yametoka wapi?

    Pole sana mwandishi kwa kukosa ufahamu wa biblia kiundani, usidhani watu tunacomment maneno hewa bila proofs, biblia ina contradictions na errors sijui kama unanieleewa hapo? Nitakuoa homework mwishoni! Eti kwamba waisraeli hawakutegemea masihi (mfalme), you are grossly wrong! Kasome hivi...
  15. Custos Mundi

    Kama hakuna katika mafundisho haya yanatokana na Torati au Manabii, yametoka wapi?

    Hii dhana Wanazuoni kadhaa wanaamini Yesu alitarajiwa kuwa mfalme(literal translation of a messiah) hata baadhi ya wanafunzi wake waliamini hivyo lakini kiuhalisia maisha ya yesu na uhalisia wa ujio wake bado unawachanganya wanazuoni wengi kwasababu non-biblical histories have not sufficiently...
Back
Top Bottom