Recent content by Curious

  1. C

    JamiiForums Tanzania Sappi yuko sahihi kuhusu uwezo wa Maximo?

    Tumechoshwa na akina Sappi na uchambuzi wao usio na mashiko na uliojaa hoja lemavu. Eti 'Soccer analyst'!! Pengine 'soccer fan' ingekuwa bora zaidi. Kuwa mchambuzi wa michezo kunahitaji shule kama zilivyo fani nyingine kama uganga, uhandisi, urubani n.k. Watu wanasikia tu political analyst...
  2. C

    JamiiForums Tanzania CHAN Finals: Live from Ivory Coast

    Mkuu Mwenyewe, haya mashindano haya-count kwenye FIFA rankings. Mashindano yote yenye limitations kama vile age-categories (U-17, U-20 etc) na haya ya wachezaji wa ligi za ndani TU, hayahesabiwi na FIFA.
Back
Top Bottom