Najua itakuwa siku ya umakini, naweza iita siku ya budget halisi, Zitto ni mzuri, ataisoma na ataieleza kwa umakini wa kutisha, atawaeleza watanzania nini chadema inaweza fanya katika nchi kwa kipindi hiki, namuomba mungu aliye hai, ampe Zitto, nguzu na uwezo mkubwa wa kusoma na kueleza kwa...