Recent content by Curare

  1. C

    JamiiForums Tanzania Bia ya safari ya kirikuu kuna kitu kinaongezwa?

    Ni kweli kirikuu imebadilika ladha, lakini katika vikao mtaalamu moja wa kaunta katujuza kwamba, ile inayotoka Mwanza, ambazo batch #inaanza na MW ndiyo ladha tofauti, lakini AR au DS ladha ni ile original!
  2. C

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini Viwanda vingi vya Tanzania vilikufa 1980s na Kenya havikufa?

    Tanzania, viwanda vyote vilikuwa vya serkali, wakurugenzi walitoka hazina, wabunge na hawa kuwa na uchungu wa matumizi! Tofauti na Kenya, viwanda vyote ni vya watu binafsi, wakiwapo viongozi serkalini! Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom