Umeandika utopolo wa hali, kazi uliyotumwa imebuma, hatudanganyiki, watanzania wameelevuka sana, mwaka huu T-shirt na Zita kuwa za kudekia, kofia za SSH zile za chujio zitafaa kuchujia komoni
Mimi nimejiandikisha vizuri na kitambulisho changu cha kura kiko vizuri na umri wangu ni zaidi ya miaka 60,lakini sitopiga kura ng'o, ni kupotezeana muda, kura haina thamani. Wacha wajipitishe kwa kishindo tuone kama nchi itakalika!
No reform No election inatosha kuzuia uchaguzi, we were unataka mbinu gani za kuzuia uchaguzi upewe, au wewe unataka watu waende kuuwawa na kuvunjwa mikono na miguu, na wakapotezwe.? Haya waliingia kwenye uchaguzi 2019,2020,2024 walipata nini?
Haki za binadamu hazina mipaka ya nchi, kuna mikataba ya kimataifa ambayo tuliiridhia, sio kwamba zilikuwa mbwembwe za kusaini tu, na kuchukua posho za safari, ni kujifunga. Hivyo polite zinapokiukwa haki za binadamu ni wajibu, kuanikwa, kukemewa kulaaniwa na ikibidi kuwajibishwa na Maha kama za...
Kuna watu wanaumia moyoni kwa Chadema kutoshiriki uchaguzi, tuwaachie walioahidiwa majimbo ya bwelele tuone,hatuhitaji watu wetu kuuwawa , kupotezwa ,kungolewa meno,kucha,na kuvunjwa miguu.Lakini sio Chadema tu, ni wananchi wengi hawatoshiriki uchaguzi, itakuwa CCM na wapambe wait ACT na Chaumma.
Hao wafukuzwe mara moja kama Chadema tuliwahi kuvuka salama kipindi kile cha COVID 19 ikijadiliwa kuwa ama wafukuzwe ama wa achwe, na wakafukuzwa tukavuka hapo na Chadema ikabaki salama!, sembuse hao mbawa wa G 55? .
Mimi na familia yangu sitopiga kura kabisa, miaka yote napoteza nguvu zangu kwenda vituo vya kura, bora nilale usingizi au nikae na manati sehemu kutungua wakuda
Acha kuwa chawa kwa andiko lako unajivunjia heshima yako kama mwandishi mkongwe, umekuwa Mchumia rumbo NRNE ndo mpango mzima tumechoka kuona damu zikimwagika, watu wakipotezwa, polisi wakibeba masanduku ya kura!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.