Recent content by Culminate

  1. C

    JamiiForums Tanzania African Satellite World and Sat Gear

    Any stb seller in Dar?
  2. C

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Kuna pdf nzito sana ya watu wa ASA wanaitwa wakakandwe huko.
  3. C

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Mara wanakukanda tena.
  4. C

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Hivi wakitangaza unaweza kurudia tena kuomba kama ulikandwa?
  5. C

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Hivi huko UDOM nako bado kweli au ndo tayari watu washaanza kazi.
  6. C

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Hii sasa tatizo.
  7. C

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Bosi assistant lecturers katika field ipi ambao ambao unawazungumzia?
  8. C

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Hata kwenye masters mfumo upo hivyo. Huwezi kuomba kazi inayotaka first degree ukiwa na masters. Labda hiyo master iwe listed kama additional advantage.
  9. C

    JamiiForums Tanzania Tambua uelekeo wa dishi katika satellite za chaneli (picha za madishi)

    Hii itakuwa poa sana. Unaipata kwa 4 ft ukiwa wapi?
  10. C

    JamiiForums Tanzania KERO Ajira Portal wapo kweli ofisini? Dawati la msaada ambalo halisaidii kitu

    Wameandika bosi kwenye tovuti yao kuwa hizo nafasi za udom zimesitishwa hadi itakapotangazwa tena
  11. C

    JamiiForums Tanzania Tambua uelekeo wa dishi katika satellite za chaneli (picha za madishi)

    Hapa kwenye futi nane sasa
  12. C

    JamiiForums Tanzania Tambua uelekeo wa dishi katika satellite za chaneli (picha za madishi)

    Hii inapatikana kwa dish size gani mkuu ukiwa Dar
  13. C

    JamiiForums Tanzania Tambua uelekeo wa dishi katika satellite za chaneli (picha za madishi)

    Ila nilishauriwa kuwa kwenye dish la 6 ft ndo inafaa zaidi. Kama unaweza jaribu mkuu uje utupe mrejesho.
  14. C

    JamiiForums Tanzania Tambua uelekeo wa dishi katika satellite za chaneli (picha za madishi)

    Sikumbuki asilimia ila uelekeo ni wa azam lakin dish unalishusha chini sana kama inavyoonekana kwenye picha isipokuwa dish ndio lnakuwa la offset.
  15. C

    JamiiForums Tanzania Tambua uelekeo wa dishi katika satellite za chaneli (picha za madishi)

    Sikumbuki asilimia ila uelekeo ni wa azam
Back
Top Bottom