Recent content by CUF UENEZI MTWARA

  1. C

    Makaidi ajitolea kunusuru 'ndoa' ya Zitto, CHADEMA

    Kadi yangu bado ninayo, kama ni wazo la watu kuwa nitahamia chama fulani na libaki kuwa wazo tu, siku za hivi karibuni kumetokea kundi la watu wasiotumia akili kujua kwamba nina kesi mahakamani na bado mimi nahitaji kuwa mbunge mpaka nimalize miezi iliyobaki, lakini wao kwa utashi wao...
  2. C

    Msajili: Mwigamba ni sawa na jiwe lililojambiwa na chui

    nimekasirika sana kumjua huyu mwigamba pamoja na kujambiwa na chui bado harufu kali ya kijambo cha chui hakimkeri
  3. C

    Msajili: Mwigamba ni sawa na jiwe lililojambiwa na chui

    Halafu katika mapinduzi yake haramu ni kijinga yeye anapindua ili mtu mwingine atawale wala sio yeye mwenyewe, kule kijenge juu alitaka rafiki yake ndo awe askofu lakini cdm alitaka zitto awe mwenyekiti sio yeye na act nadhani alitaka mambo awe mwenyekiti a zito na sio yeye, mjinga sana
  4. C

    Msajili: Mwigamba ni sawa na jiwe lililojambiwa na chui

    Kuna kajinga kanitwa rangimoto sijui njano 5, kanaanza ujinga wake wa hadithi chachu kwenye kutetea ushetani huu tumeshajua ukweli na nitaomba ndugu yangu wa arusha anitafutie musabato wa kanisa la kijenge nijue ukweli wa hilo jambo
  5. C

    Msajili: Mwigamba ni sawa na jiwe lililojambiwa na chui

    Halafu katika mapinduzi yake haramu ni kijinga yeye anapindua ili mtu mwingine atawale wala sio yeye mwenyewe, kule kijenge juu alitaka rafiki yake ndo awe askofu lakini cdm alitaka zitto awe mwenyekiti sio yeye na act nadhani alitaka mambo awe mwenyekiti a zito na sio yeye, mjinga sana
  6. C

    Msajili: Mwigamba ni sawa na jiwe lililojambiwa na chui

    Yaani kumbe na kelele zote za kitila na mwigamba hata chama hawakuanzisha wao, kumbe walikaribishwa tu? maajabu ya mwaka, kila gazeti na kila kona watu wanakiita chama cha zitto na mwigamba
  7. C

    Msajili: Mwigamba ni sawa na jiwe lililojambiwa na chui

    Sasa kumbe ndio naelewa maana ya kila mtu kuanzisha chama na familia yake kama vile alivyofanya mtikila na akina mtei, kwa sababu unaweza kuwaamini watu kuwakaribisha mjenge chama kumbe unageuzwa tambala la kudekia ghafla kama mzee wangu fundikila alivyofanywa. Huyu mwigamba na Prof.Mkumbo na...
Back
Top Bottom