Recent content by CUDARCY

  1. CUDARCY

    Vipi kuhusu ajira za wasaidizi wa ufugaji nyuki

    Kitakuwa tanzania na mimi cna uhakika jifunze kuuliza ucjifanye unajua
  2. CUDARCY

    Vipi kuhusu ajira za wasaidizi wa ufugaji nyuki

    Mbona mnaroho mbaya sana jaman naitaji kujua maana tuliahidiwa kupewa kazi na wizara yet m/ asiri
  3. CUDARCY

    Vipi kuhusu ajira za wasaidizi wa ufugaji nyuki

    Vijana toka chuo cha mafunzo ya ufugaji nyuki wanaulizia nafasi za kazi maana tangu wamalize hakuna hata tetesi
  4. CUDARCY

    Tatizo la Mabaka, Mba na Fungus (Fangasi) sugu na kuwashwa sehemu za siri kwa wanaume na wanawake- Fahamu chanzo, Dalili na Matibabu yake

    Dear doctor ninasumbuliwa na fangasi tangu mwaka 2010 mpaka leo hii mguu unazidi kunyofoka plz naomba msaada wako wa kupata dawa husika
  5. CUDARCY

    Dawa ya fungus za miguuni

    Naomba msaada wa dawa kama itakuwepo nime2mia dawa nyingi sana na hospital nyingi sana kupata sululisho la mguu wangu umepata fungus tangu mwaka 2010 ila kila nikitibiwa cpati nafuu plz nisaidie doctor
Back
Top Bottom