Recent content by cuchi

  1. cuchi

    Bifu la Harmonize na team Wema lachafua hali ya hewa

    Lini na wapi Wema alishamtukana dai au tiffa...Matusi yanatoka kwenye timu zao..Timu Dai wanamtukana Wema na Kina,Timu Wema wanamtukana zari na dai....yaaani fans wao ndo watukanajii wakubwa....
  2. cuchi

    Bifu la Harmonize na team Wema lachafua hali ya hewa

    Nimechekaaaaa nyiee watu sio wazuriii...mwezenu kajielezeaaaa
  3. cuchi

    Madam Wema Sepetu, tusamehe Watanzania

    So mi nimekuwa wema tena...kisa nimekubalina na mleta hoja :confused::confused::confused::confused:
  4. cuchi

    Madam Wema Sepetu, tusamehe Watanzania

    mmmhhh huko sipo na kuhusu kuntovaa hii imekuwa kawaida kwa wasichana na wamama walio wengi,mi nilichokuwa na pinga ni kwa watu kulazimisha kuona upande mmoja tu wa maisha yake inhali ana upande mwingine pia
  5. cuchi

    Madam Wema Sepetu, tusamehe Watanzania

    sitetei ila huo ndo ukweli yaaan kuna watu wanajikuta ma bff wa Mungu kwa kujudge wenzaoo
  6. cuchi

    Madam Wema Sepetu, tusamehe Watanzania

    humu ndani kuna Miungu watu wanajikuta wao wasafi kumbe ndo wachafu mpk shetani anaomba poo....wema ana mabaya yake ila pia she has a good side of her kama binadamu wengine penye ukweli tuseme....
  7. cuchi

    Madam Wema Sepetu, tusamehe Watanzania

    mmmmhhh we ni zaidi ya hater,kipi cha ajabu alichofanya wema mpk asifae kuwa mke wa mtu,wanaolewa makahaba walioshindikana sembuse wema looooh
  8. cuchi

    Madam Wema Sepetu, tusamehe Watanzania

    kweli hater will always hate
  9. cuchi

    Members only

    Mmmmmmhhhh:eek::eek::eek::eek::eek:
  10. cuchi

    Mwaka wa mabadiliko, je wewe unafurahia au unasikitika?

    Yaaan bora wewe una upeo tofauti
  11. cuchi

    Mwaka wa mabadiliko, je wewe unafurahia au unasikitika?

    Habari za asubuhi.. Kuna kitu kinanitatiza sana na natamani kujua mawazo ya wenzangu pia katika hizi harakati za mabadiliko ya nchi yetu. 1)lowassa angepitishwa na ccm je hizi harakati za mabadiliko zingeendelea kuwa hivi ilivyo sasa? 2)Je kama mtanzania unadhani na uhakika kuwa mabadiliko ya...
  12. cuchi

    Wema na Ivan it's ON, Wana-date

    Eeeehhh kiongoz ckujua she is makin money out of it.. Hya let her break the internet
  13. cuchi

    Wema na Ivan it's ON, Wana-date

    Hii kitu imetoka kwenye blog ya mange i know she love tension ila kwa hta matusii duuuuuu...let de project continue ila ningekuwa mim ningejiweka off na social network kwa muda
  14. cuchi

    Wema na Ivan it's ON, Wana-date

    Hahahahaha but hyo ni maneno ya mange mbona ye hajacofrm hii kitu
  15. cuchi

    Wema na Ivan it's ON, Wana-date

    Jamaniiii hebu let dis girl aishi maisha yake coz watanzania tunaongoza kwa kumtukana na kupenda kumpangia mtu maisha.. Najua kuna watu wanafanya mambo ya ajabu nje ya keyboard ila kwa kusema wenzaooo vibaya..khaaaaaa
Back
Top Bottom