Recent content by Cruze

  1. C

    JamiiForums Tanzania SIMULIZI: Notebook

    Mmmmh
  2. C

    JamiiForums Tanzania SIMULIZI: Notebook

    Tayar kiongoz
  3. C

    JamiiForums Tanzania SIMULIZI: Notebook

    Nmeuleta Mkuu ....
  4. C

    JamiiForums Tanzania SIMULIZI: Notebook

    Asanteee sana 🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰
  5. C

    JamiiForums Tanzania SIMULIZI: Notebook

    Samahan nilipata changamoto kidogo ndomana nlikuwa kimya muda mrefu lakin nimeona niikatize ili iishe leo nisiwakwaze mnaofatilia
  6. C

    JamiiForums Tanzania SIMULIZI: Notebook

    SEHEMU YA KUMI: Baada ya nusu saa Carry alianza kulalamika tumbo linamuuma alianz kulia kwa maumivu na damu zilianza kumtoka ,Nancy alijua mamb tayr yameiva hivyo alienda kufunga mlango vizur na madirisha aliyalock il watu wasisikie kelele za Carry "Dada naomba unipeleke hospital nakufa mim...
  7. C

    JamiiForums Tanzania SIMULIZI: Notebook

    SEHEMU YA TISA ; Carry wakat yupo njian anajiburuza kutokan na maumiv ya mguu aliyokuw nayo alikutana na Meddy "Carry mamii mbona kinyonge sana shida nin mama" "Amna kitu Meddy,uchovu tu " "Unaonekan haupo sawa kabisa kwanzia unavyotembea had uso wako unaonekan umevimba kwa kulia ,nambie una...
  8. C

    JamiiForums Tanzania SIMULIZI: Notebook

    Shukran kiongoz
  9. C

    JamiiForums Tanzania SIMULIZI: Notebook

    Endelea kufatilia
  10. C

    JamiiForums Tanzania SIMULIZI: Notebook

    Asante kiongoz 🥳
  11. C

    JamiiForums Tanzania SIMULIZI: Notebook

    SEHEMU YA NANE : Carry alishtuka yupo hospital akiwa amewekewa drip ya maj halafu pemben yake alikuwa amesimam yule muuza duka pamoja na mmama mgen machon mwa Carry wala hakuwah kuonana nae kabla "Ooh umeamka,pole sana unajisikiaje sahiv"aliongea yule kaka wa dukan baada ya kumuona Carry...
  12. C

    JamiiForums Tanzania SIMULIZI: Notebook

    Usijal nipo nakiandaa kipande kingine ntatupia baadae
  13. C

    JamiiForums Tanzania SIMULIZI: Notebook

    SEHEMU YA SABA ; Asubh na mapema Edward aliamshwa na mama yake akajiandae ili waende kwa kina Neema "Mama mbona mapema sana jaman tutaenda hata jion " "Edward sitak mabishan na wwe me nimeshajindaa nakusbr kibarazan huko jiandae twende " Edward hakuwa na kipingamiz tena alijiandaa baada ya nusu...
  14. C

    JamiiForums Tanzania SIMULIZI: Notebook

    Itaisha tu hata usijal
  15. C

    JamiiForums Tanzania SIMULIZI: Notebook

    Shukran...nimeuletaa..
Back
Top Bottom