Recent content by Crucified

  1. Crucified

    JamiiForums Tanzania Ndoa ya Jacqueline Wolper yavunjika

    Nakubali sana dada angu nifa...utatupatia mrejesho wengine hatupo mjini tupo msata [emoji3][emoji3][emoji3]
  2. Crucified

    JamiiForums Tanzania Ndoa ya Jacqueline Wolper yavunjika

    Ni kweli wamerudiana??? Tupe infos dada etu nifa
  3. Crucified

    JamiiForums Tanzania Ndoa ya Jacqueline Wolper yavunjika

    Inasemekana wamerudiana
  4. Crucified

    JamiiForums Tanzania Kama unataka kufanikiwa kweye maisha, acha kufanya kazi za kimasikini zenye asili ya kimasikini

    Mtu anaweza akawa polisi akajibana akapata mtaji akafanya biashara akapiga hela...traffic police wanapiga sana hela barabarani humo
  5. Crucified

    JamiiForums Tanzania Kama unataka kufanikiwa kweye maisha, acha kufanya kazi za kimasikini zenye asili ya kimasikini

    Kujenga Ni hatua nzuri mzee mtu anapewa na pongezi kabisa
  6. Crucified

    JamiiForums Tanzania Kama unataka kufanikiwa kweye maisha, acha kufanya kazi za kimasikini zenye asili ya kimasikini

    Ila uvuvi wapo wanapata hela nzuri mzee
  7. Crucified

    JamiiForums Tanzania Kama unataka kufanikiwa kweye maisha, acha kufanya kazi za kimasikini zenye asili ya kimasikini

    Kuna mtu Ni mwalimu kajiajiri kafungua tuition Mwenge anapata hata 1 million kwa mwezi....Nakumbuka kipindi nipo form six...kipindi Cha likizo Kuna jamaa topic ya organic chemistry anafundisha kwa 20,000 na wanafunzi kibao alikuwa anapata almost million 2
  8. Crucified

    JamiiForums Tanzania Ndoa ya Jacqueline Wolper yavunjika

    Ila wamedumu...kumbe ni uchumba tu
  9. Crucified

    JamiiForums Tanzania Ndoa ya Jacqueline Wolper yavunjika

    Hapo kwenye kitabu....itabidi ufanye hivyo mzee....Tena skills za uandishi unazo...unajua kueleza kwa maandishi
  10. Crucified

    JamiiForums Tanzania Ndoa ya Jacqueline Wolper yavunjika

    Dah...!! atakuwa full kukuomba msamaha na kulia
  11. Crucified

    JamiiForums Tanzania Ndoa ya Jacqueline Wolper yavunjika

    Dah!! Unetoka mbali mzee...itabidi uandike kitabu mzeee
  12. Crucified

    JamiiForums Tanzania Ndoa ya Jacqueline Wolper yavunjika

    Viatu vilikuwaje na vina uhusiano gani na ndoa kuvunjika
  13. Crucified

    JamiiForums Tanzania Ndoa ya Jacqueline Wolper yavunjika

    Kweli kuna msemo unasemaje kukata tamaa dhambi
  14. Crucified

    JamiiForums Tanzania Ndoa ya Jacqueline Wolper yavunjika

    Hahahaaaaa ndoa hizi
Back
Top Bottom