Recent content by CRS-1

  1. CRS-1

    Wiki ya tatu tangu niombe mkopo Access Bank lakini mpaka leo sijaupata. Sitaki tena huo mkopo, nifanye nini?

    Niende jumaanne halmashauri nikacancell,tatizo wamepitisha makato
  2. CRS-1

    Wiki ya tatu tangu niombe mkopo Access Bank lakini mpaka leo sijaupata. Sitaki tena huo mkopo, nifanye nini?

    Mimi ni mtumishi, nimeomba mkopo kwenye Benki moja hivi, inaitwa Access Bank. Yapita wiki ya tatu Sasa tangu niombee mkopo lakini mpaka leo hawajaniingizia mkopo wangu, na makato kwa Mwajiri wameshapitisha wiki Mbili zilizopita kila nikijaribu kuwasiliano nao mara wananinijibu kuna changamoto...
Back
Top Bottom