Mdogo wangu mimi nina maisha kuliko familia yenu combined. Ila nyeusi nitaiita nyeusi na nyeupe nitaiita nyeupe. Wewe ndio unaeonyesha hufanyi kazi kwa kutegemea intelligence yako rather kutegemea incompetence ya huyu aliyeko madarakani. Majority wanaokupinga humu hawaongelei maslahi binafsi...
Kama serikali haikuletei pesa kwanini wewe una hofu ya Samia kuondoka madarakani? Kwanini wewe unajinasibu kua mama kafungua nchi mnapiga madili wewe na machizi wenzako? Kama serikali haikueletei pesa basi tuliza nyama maana hata akiondoka itakayokuja serikali nyingine haitaleta pesa tena...
Umesema yote rafiki yangu...yani huo ndo mtindo kwa wale wapuuzi! Lile genge lao kwakweli linatakiwa liangaliwe sivyo ni kumtafuta mmoja mmoja jioni anafanyiziwa maana wamekua kero kwakweli
Habari wandugu,
Napenda kuwapa tahadhari juu ya kikundi cha askari wa usalama barabarani wanaopenda kukaa maeneo ya Kimara Kona ama Kimara Bucha. Askari hawa ni wahuni na wanabambikia watu kesi kila mara, na muda mwingine ukibishana nao wanakukariri gari yako na kuchukua number ya leseni yako...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.