[Yah!nimeisikiza kwa makini, kuna ujanja umetumika kifanya editing, pamoja na hayo tumeshaamua ccm lazima waondoke madarakani hata wakitumia ujanja gani watatoka tuu.OTE=Jigsaw;13921814]CCM mmekosa kitu cha kuwapatia watanzania kiasi cha kuja ku editi mpaka video na sauti ya mtu. Mnatafuta mtu...
[Ninapenda kampeni za kistaarabu wanazofanya UKAWA wakijikita kwenye hoja. Kampeni za ccm zimejikita kwenye mambo haya:
1.kumtukana Lowassa
2.kumtukana Sumaye
3.Mipasho
4. Kutukana UKAWA
5. Barabara.
Hizi ni dalili wazi kwamba wameishiwa, wanatapatapa, wwanawayawaya.
Toeni hoja za msingi...
[Na hapo ndipo nami namuona Slaa kama mtu asiyekuwa na msimamo, anadai hana chama lakini kwa msomi yeyote anaweza kuona wapi kaegemea Slaa, ni dhahiri upo upande anakoegemea asijifanye msomi saaana, wapo wasomi wametulia, ashukuru kanisa katoliki lililomsomesha akalisaliti na sasa anasaliti...
[Sio kila unachoambiwa lazima uchukue, nawe tumiana akili bua na kuona ukweli upo wapi, mbona hata Magufuli fisadi, hilo huoni?UOTE=masopakyindi;13843824]Leo tumesikia mbivu na mbichi toka kwa Dr Slaa, aliyekuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA.
Tumesikia jinsi alivyoingia uongozini CHADEMA kwa nguvu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.