Recent content by Cristiano Deovis

  1. C

    JamiiForums Tanzania Mrema: Kura ya siri ni unafiki

    uchaguzi wa rais siyo jambo la kitaifa?mbona kura inakuwa ya siri?nchi yeyote inayoongozwa kwa mfumo wa demokrasia kura ya siri ndio inakubalika ili kutoa uhuru kwa mpiga kuru kufanya aamuzi sahihi ya nafsi. kwa maana hiyo kura wazi hiyo haikubaliki hata kidogo kwani itamnyima mjumbe uhuru.
  2. C

    JamiiForums Tanzania Wabunge watatu wa CCM wauza unga wajisalimisha

    Viongozi wetu siku hizi wapo juu ya sheria so nothing will be done on this issue, cha msingi ni to make big changes in a coming election of 2015.
  3. C

    JamiiForums Tanzania Kanda ya Ziwa waanzisha ‘genge’ kuratibu mgombea wao wa urais

    On my side, rais anaweza toka popote pale ili mradi akubalike siyo lazima atoke kanda ya ziwa. Demokrasia ya kweli haiwezi zingatia ukanda labda kama mtaka kuleta ukabila, ambao hauna nafasi katika nchi hii. Hivi kila kanda ikiamua kusema hivyo mwishowe itakuwa nn?japo tujifunze...
  4. C

    JamiiForums Tanzania Baada ya ziara ya Mbowe kanda ya ziwa, namtafuta Zitto nimtonye!

    Sidhani kama itatusaidia kwa sisi wananchi
  5. C

    JamiiForums Tanzania Mwanamke kuolewa na wanaume wawili, sheria yasemaje?

    ukisoma sheria ya ndoa revised edition 2002 kifungu cha 15 kifungu kidogo 3 kinasema no woman who is married shall, while that marriage subsists, contract another marriage.kikiwa na maana ya kuwa sheria haimruhusu mwanamke aliyeolewa kuolewa kwa mara nyingine pasipo kuvunja ile ya awali, hivyo...
Back
Top Bottom