Ni swala la watawala kuyafanyia kaz mawazo mazuri haijarishi yametoa wapi cha msingi ni kuliokoa taifa na machafuko ya vita kama yanavyoanza kujitokeza ni Juzi tu machafuko ya wafanyabiashara na polisi yalizuka pale Iringa leo tena ndo hivyo serikali inatakiwa kukubali mabadiliko
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.