Recent content by CreativityCode

  1. C

    Ushoga ni utamaduni wa Magharibi, kwanini iwe shinikizo kwa nchi nyingine?

    USHOGA NI DHAMBI KUBWA MBELE ZA MUNGU. Ila sikubaliani na wewe kuwa ni utamaduni wa magharibi na umeletwa na wazungu. Ushoga upo kwenye jamii zote duniani tangu mwanadamu alipoanza kusambaa kwenye uso wa dunia, enzi za Nuhu na kabla yake, upo sana, na utaendelea kuwepo mpaka Yesu mwenyewe...
  2. C

    Freeman Mbowe kuitwa Mandela wa Tanzania ni sawa?

    Soma tena ulichoandika, kisha soma pia majibu yako kisha fikiri. Ni wazi utakufa masikini sana wewe na ukoo wako wote.
  3. C

    Freeman Mbowe kuitwa Mandela wa Tanzania ni sawa?

    sasa anachopitia FAM kwa sasa kina tofauti gani na alichopitia Mandela walau miaka yake ya mwanzo ya kesi huko Mzansi? Utakufa masikini wewe na ukoo wako wote.
  4. C

    Freeman Mbowe kuitwa Mandela wa Tanzania ni sawa?

    Freeman Aikael Mbowe ni Mandela wa kizazi kipya. Ametoa maisha yake ili watanzania tupate haki zetu. Mungu akutie nguvu baba. Tunakuombea. Vumilia maumivu lakini kupitia kesi yako ya ugaidi wengi unatufungua akili. Watawala matumbo moto. Wamefumbwa macho na akili wasione na kuacha uovu wao ili...
  5. C

    Mtwara: Maafisa Saba(7) wa Polisi wafikishwa Mahakamani kwa tuhuma za mauaji ya Kijana aliyekuwa akiwadai zaidi ya Tsh milioni 33.7

    Watanzania nani aliyewaroga? polisi kuua mfanyabiashara wa madini kijana Mtwara ilitakiwa kuwa sababu ya kila raia kuingia barabarani
  6. C

    Nadharia yangu: Freeman Mbowe alimuomba Denis Urio amtafutie walinzi, DCI alidukua mawasiliano, akamshawishi Urio ashiriki kumbambikia Mbowe ugaidi

    hatari, kungekuwa kuna kufa mara mbili ningeomba magufuli afe tena, yote hayo aliyabariki
  7. C

    Nadharia yangu: Freeman Mbowe alimuomba Denis Urio amtafutie walinzi, DCI alidukua mawasiliano, akamshawishi Urio ashiriki kumbambikia Mbowe ugaidi

    Yawezekana pia. Ila mbona Urio ni kama vile hakuguswa? na ameingiza mambo ya ugaidi na anayatetea?
  8. C

    Nadharia yangu: Freeman Mbowe alimuomba Denis Urio amtafutie walinzi, DCI alidukua mawasiliano, akamshawishi Urio ashiriki kumbambikia Mbowe ugaidi

    Wandugu, Baada ya kufuatilia kwa kina kinachoendelea mahakamani naweza kuja na nadharia ifuatayo. Freeman Mbowe alimuomba Denis Urio amtafutie walinzi. Lakini kwa kuwa DCI alikuwa anafuatilia kwa ukaribu mawasiliano ya kila siku ya simu ya Mbowe aliona kuna connection na Denis Urio hivyo...
  9. C

    Tripadvisor's top 10 trending destinations in the world. Arusha, Tanzania is number 8

    The trending destinations category is for the locations that showed the greatest year-over-year increase in a combination of positive Tripadvisor traveler reviews and ratings for accommodations, restaurants and things to do. These are the top 10: 1. Mallorca, Spain 2. Cairo, Egypt 3. Rhodes...
  10. C

    Nashauri Jen. Venance Mabeyo asome kitabu "Army of None" cha Paul Scharre ili atuondolee aibu ya kubebesha magunia makomandoo kwenye sherehe za uhuru

    Mazoezi ya viungo kila mwanadamu anahitaji. Hoja yangu ni kwamba mwanajeshi huhitaji maguvu kushinda vita vya kisasa bali ni kutumia teknolojia.
  11. C

    Nashauri Jen. Venance Mabeyo asome kitabu "Army of None" cha Paul Scharre ili atuondolee aibu ya kubebesha magunia makomandoo kwenye sherehe za uhuru

    ALIYEKWAMBIA NASOMA KITABU KIMOJA NI NANI? UMASIKINI ULIONAO UTAONGEZEKA MARA KUMI ZAIDI IKIWA UNAFIKIRI NAMNA HIYO.
  12. C

    Nashauri Jen. Venance Mabeyo asome kitabu "Army of None" cha Paul Scharre ili atuondolee aibu ya kubebesha magunia makomandoo kwenye sherehe za uhuru

    We bado uko nyuma sana ndugu. Dunia ya sasa haiko kama unavyofikiria. Miaka michache ijayo automation kwenye vita haitoepukika. Tazama hii animation video ya kiongozi wa Iran akionesha kum assassinate Trump hapa ndipo dunia ilipofikia. JWTZ KUTUONESHA MAGUNIA KWA DUNIA YA LEO NI AIBU...
Back
Top Bottom