Habari,
Kuna hili swali, la kama kuna uwezekano wa mtu kusikiliza simu zako, je, utajuaje kama zinasikilzwa au meseji zinasomwa...na ukijua unawezaje itoa?
Kwanza, issue nzima inaitwa, "Call Forwarding", na hii ni pale, aidha meseji au simu unazopokea, zikatumwa kwenye namba ya mtu mwingine...