Recent content by Cracks

  1. C

    JamiiForums Tanzania Watu wa Tanga badilikeni. Tuko karne ya 21

    Huwa naamka saa 11 asubuhi narudi nyumbani saa 4 hadi 5 usiku,hekaheka za kila namna mjini Dar, ila nikienda Tanga huwa napata utulivu wa nafsi sna ile slow life,utulivu,upendo na namna wanavyo ishi maisha yao bila pressure najisemea tu kimoyo moyo haya ndio maisha basi tu.
  2. C

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kuwachanganya watu weusi na waarabu, unganisha kitu chochote na Mungu uone, direction yote inabadilika.

    Bwana weee!!!angalia tu wanavyo tukanana humu TEC na waislamu,yaani unakaa unafikiria hawa watu wananufaika nini zaidi ya kucheza mchezo wa watawala "gawanya uwatawale"ujinga ujinga to the core!yani dini ikitajwa ni kama kuna nati zinawachomoka kichwani
  3. C

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Malisa: Wazazi wangu na majirani wamewekwa chini ya ulinzi na Polisi

    Unawatia vipi kiberiti wakiwa na silaha za moto?hata akiwa mmoja tu ana mkwaju nyie mko wengi kuna atae thubutu kumsogelea??au tunaamua kujifurahisha tu kwa kuongea vitu ambavyo tunatamani vitokee lakini kiuhalisia ni haiwezekani
  4. C

    JamiiForums Tanzania Mange Kimambi kashapewa pesa atulie kimya, wajinga ndio waliwao

    Mmechelewa sana kumshtukia Mange,Maria wote Wana ajenda zao binafsi..mtu anaeweza weka tupu za watu mitandaoni kwaajili ya kutafuta pesa bila kujali athari anazomletea mhanga kwa jamii yake,anapata wapi nguvu ya kudai demokrasia?? Nchi inapitia magumu kana kwamba yoyote anaaeonyesha nia ya...
  5. C

    JamiiForums Tanzania Makala Elimishi: Kwanini JWTZ Kamwe Haliwezi Kupindua Serikali Tanzania? Ni JWTZ ya Serikali ya CCM, ni JWTZ CCM!

    Kwa sasa bongo kila mtu anatembea na msemo huu"we have family to feed,and not streets to impress" hata jeshi pia linatembea na msemo huo they have family to feed,and not wananchi to impress
  6. C

    JamiiForums Tanzania Marais wa Tanzania ambao Hawajaacha Legacy Yoyote

    Raisi alikua Magufuli tu hapo..halafu hii michezo ya udini sijui inawanufaisha nini,mwisho wa siku hakuna ataeshinda mnawanufaisha watawala tu sera yao ya gawanya upate kundi kubwa la kukutetea hata kama uongozi wako ni mbovu, sababu mtu mweusi akitajiwa dini tu ni kama akili zinamruka.
  7. C

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Mwigulu: Watanzania Tunzeni Akiba ya Chakula, Mvua zimechelewa

    Mabeberu washaanza kuonea wivu milo yetu mitatu,tukae chonjo jamani hii vita sio nyepesi...
  8. C

    JamiiForums Tanzania Kwamba tangu tumepata uhuru huyu ndie Rais ambae wananchi wanamchukia na hawamkubali?

    Unajua asili ya binadamu ni ubinafsi Kipindi cha Magu alichukiwa na matajiri,wasomi wengi,wapinzani na CCM wengine ambao aliwanyima ulaji. Upande wa wananchi wa kawaida wanaopiga mishe zao mtaani wasiokua na mambo ya vyama usingewaambia chochote kuhusu Magu wakakuelewa na hili ni kundi kubwa...
  9. C

    JamiiForums Tanzania Hivi mpaka mtegemee mvua ndio shida za maji ziwe solved?

    Hawa mawaziiri,mainjinia na wasomi wengine nilikua nawatazama kwa jicho la tofauti sana nilkiona magari wanayotembelea,mishahara wanayolipwa na incentives nyingine. Nilidhani wana uwezo mkubwa sana kichwani wa kutatua changamoto hasa nyakati kama ngumu,kumbe nao wanakuja na sababu za kawaida tu...
  10. C

    JamiiForums Tanzania Ukweli usemwe sisi waislamu ndo tunaeneza vita ya udini Tanzania

    Waislamu tuna inferior complexity mashehe wanaona wamezidiwa elimu na influence na tec hivyo wao wanaona suluhu ni kuwa wababe na kutoa vitisho,kibaya zaidi tec walianza kitambo hata Magufuli walimkosoa sana. Nchi tajiri za kiislamu pamoja na matajiri binafsi wangewekeza zaidi kujenga shule za...
  11. C

    JamiiForums Tanzania UVCCM tatizo hamna elimu ya Sheria za Marekani kuhusu kumrejesha mtuhumiwa

    Mfurahishe boss,penda kuongeza yote anayopenda kusikika boss wako pasi na kujali uwezekano wa kutokea..ndicho wanachofanya wateule wengi wa raisi
  12. C

    JamiiForums Tanzania Kosa la Samia ni kuleta Siasa za Zanzibar huku Tanganyika

    Kifupi ni kwamba jamii yetu imegawamyika katika makundi matatu ccm na wanufaika,upinzani na wananchi wa kawaida sasa Magu alivyokuja alidili na upinzani na kuonyesha kwa vitendo yuko na wananchi wa kawaida.Hii ikafanya upinzani wakawa wanakosoa serikali kimpango wao raia wakawaida hawakua na huo...
  13. C

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kuna mpasuko mkubwa wa kidini unanukia Tanzania. Chanzo ni wanasiasa!

    Shida ni kwamba hawa Gen z wengi ambao ndio wana ujasiri wa kutoka na kupambana,hawaamini dini wengi wao sio washika dini kabisa tofauti na vizazi vyetu vya zamani ambavyo mtu akitajiwa dini anakua mpofu
  14. C

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Wafuatao ni mbuzi wa kafara. Soon mtasikia!.

    5.uber=tax=waziri wa ulinzi
  15. C

    JamiiForums Tanzania GE2025 Urais wa zamu wakristo na waislamu ni kansa ya Chuki kwa Taifa na mfumo uliopitwa na wakati

    Watawala wameshajua ukimtajia mtu mweusi dini tu akili zinapotea, hata kama ni professa.Kibaya zaidi wakiona maji ya shingo wanapenyeza ajenda ya udini kupata kundi kubwa la kuwatetea
Back
Top Bottom