Idadi ya maambukizi Uganda sasa ni 9, Kenya Ni 25, na Rwanda ni 36 mpaka sasa.
Ukitazama majirani zetu hawa wamekuwa wakichukua hatua madhubuti kuliko sisi lakini maambukizi kwao.yamekuwa yakiongezeka kwa kasi kuliko kwetu.
Je sisi tuko makini sana ?
Au serikali inaficha taarifa ili kupunguza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.