Recent content by Countracular Ghost

  1. Countracular Ghost

    Hayati Magufuli kama angekuwa hai, haya ndiyo yangekuwa maamuzi yake kuhusu DP World

    Kwahyo dhambi ni nini hapa?.....ulitaka SGR isafirishe nini?.....no disrespect ila sidhani kama unajua hata unachokipambania ni nini. Its undersrandable kwa watu kumchukia mtu lakini anti-magufulism kwa sasa hazina tija ukizingatia ni mtu ambaye tayari mwendo wake aliumaliza. Sent from my...
  2. Countracular Ghost

    Hayati Magufuli kama angekuwa hai, haya ndiyo yangekuwa maamuzi yake kuhusu DP World

    Hapa point ni nini?......unaweza kuthibitisha ni kwa namna gani ukaribu wa huyo Johari na Magufuli umeleta impact katika swala la mkataba huu kupitishwa kihuni huni?.....ifike mda tu watu waelewa swala la kumsakizia kila kitu marehemu badala ya kupambana na hali halisi iliyopo sasa halina msaada...
  3. Countracular Ghost

    TISS, PSU Jifunzeni kwa walioendelea

    Hoja inabidi ijengwe hivi sio kwa namna ambavyo mtoa mada na baadhi ya wachangiaji wanavyofanya, Dhihaka sio ukosoaji Sent from my SM-G960N using JamiiForums mobile app
  4. Countracular Ghost

    TISS, PSU Jifunzeni kwa walioendelea

    Hatusemi mapungufu hayapo kiongozi, na hatukatai kukosoa pale inapohitajika lakini sasa grounds za kutaka mabadiliko inabidi ziwe zina mashiko zisiwe za kwamba eti Marekani wanafanya hivi kwann sisi tusifanye vile, we unajua budget ya marekani ipoje labda kwenye swala la defense, unajua...
  5. Countracular Ghost

    TISS, PSU Jifunzeni kwa walioendelea

    Nimekuelewa Mkuu ngoja tuwaache, maana hata hoja za msingi hawana zaidi ya kufanya comparison kwa mambo ya nje wanayoyaona kirahisi kwa macho wanasahau kuwa kuna wasiyoyaona. Kila mtu anayechangia utaskia anasema "kuna jamaa namjua yupo huko, mara kuna jamaa nakae nae kijiweni......blah blah...
  6. Countracular Ghost

    TISS, PSU Jifunzeni kwa walioendelea

    Alikutajia ni taasisi zipi? Na alisema kuwa hazina tija kwa sababu haziendani na namna wamarekani wanavyofanya mambo yao? Sent from my SM-G960N using JamiiForums mobile app
  7. Countracular Ghost

    TISS, PSU Jifunzeni kwa walioendelea

    Daima ukosoaji ni kazi rahisi sana ambayo hata mtu dhaifu anaweza kuifanya.pia ww kutokuona kazi/umuhimu wa wale unaowaita "Vidada" haimaanishi huo umuhimu haupo ni vile tu either hujui ila unataka kuonekana mjuaji au ni vile tu hujui alafu hujui kama hujui. ACHENI UJUVI MWINGI MNAHISI MNA AKILI...
Back
Top Bottom