Upendo ni uchaguzi, Kwa maana ya kuchagua kufanya vitu Kwa ajili ya ustawi wa Umpendae.
sure nakwambia Ikiwa amechagua kumpenda Hata umshauri vipi amuache hatofanya hivo, na ikiwa hajachagua kumpenda hauwezi comment chochote Cha kumuunganisha nae.
Ushauri Wangu kwake ni Ikiwa tu amechagua...
Ni kweli kama unavosema mkuu, hiyo ni tabia mbaya.
Lakini ningependa ufahamu jambo Moja.
Hiyo siyo tabia ambayo Hata wao wanapenda Kuwa nayo, hauwezi amini Kuna wakati wanapokaa pekee Kisha wakianza kuwaza juu ya waliyoongea Huwa wanajutia na kuapa kutorudia kusema hovyo bila Mipaka Lakini...
Kuna kitu kina miss kwako ambacho anadhani Kwa mshkahi atakipata.
Kama una MOYO unaweza kulipa muda na kujifunza kugeuza changamoto Kuwa fursa.
Usimkasirikie, usimkatishe, ongeza ukaribu ili kugundua ni kitu Gani ambacho limemfanya aanzishe mahusiano na mwana.
Kisha jiposition kama mtatuzi WA...
Umenena vyema,
But another challenge is, kwenye kuongea hapo Kwa wawili ndipo Huwa chanzo Cha migogoro hasa pale wanapopishana kauli, mirazamo na kutoelewana.
So nakazia ili kuweza kujenga ndoa yenye mapenzi ni muhimu kujifunza na kuzungumza Lugha ya Mapenzi ya kihisia ya mwenzi wako ili...
Kabla ya kumuowa make sure umejipata, yaani Hakikisha unamtoa alipo na kumuweka kwako pia uwe na Uwezo WA kuwasaidia kizazi chake usiwe tegemezi.
Kumbuka kizazi hicho kimepitia mengi yaliyo athiri mfumo Yao ya kihisia, kwaivo Kuna gap kubwa la kihisia katika saikolojia yao
Ni kweli mkuu kama unavosema, yote ni Kwa sababu ya infection ambayo umeshuhudia ikitokea kwenye jamii kuwahusu.
Ambayo imekujengea mindsets hiyo.
Lakini Kuna watu wanafurahia maisha ya ndoa na watu WA aina hiyo.
Sio Kwa ubaya, nieleze ZAIDI unadhani ni kwanini unasema Kuwa ni hatari please 🙏
Hapana sio kweli, ila wewe utakae engage na mtoto alolelewa na mzazi mmoja, HAIJALISHI ni baba au mama, unatakiwa Kuelewa Kuwa ameathirika vipi kihisia, Kisha kujua ni jinsi Gani um treat kisaikolojia kuondoa mirazamo na imani hasi alizopandikizwa na kukidhi hitaji lake la kihisia alilolikosa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.