Recent content by Counsellor Sima

  1. Counsellor Sima

    Kifo cha mwanangu kipenzi kimetokana na uzembe

    Usikate tamaa tafadhali, yapo maisha mengine baada ya haya ya Angel mdogo wetu, kama utahitaji msaada wa bure wa kuongea na mwanasaikolojia na rafiki yangu yupo hapo Dar es salaam akupe maneno machache ya kukujenga tafadhali usiache kunijulisha atakupigia simu na kukufariji bure kabisa kupitia...
  2. Counsellor Sima

    Kifo cha mwanangu kipenzi kimetokana na uzembe

    Ile ukifika hospital wanakuuliza Bima au Cash? Ukiwaambia bima...unaona kabisa morale wao unashuka....ila ukiwaambia cash...khaaa sijui mzuka unatokea wapi.....ndo kitu inanifanya mpaka sahv nina watoto wanne na sijawah kata bima ya afya hata siku moja.....walishanishawishi watu kufanya...
  3. Counsellor Sima

    Kifo cha mwanangu kipenzi kimetokana na uzembe

    Daaaa, what a sympathise case is this.....umemaliza kwa huruma sana, pole sana najaribu kuvaa hivo viatu, it's very tight....mebak narudia kusoma maneno yako ya mwisho ......very sory indeed. Daa
  4. Counsellor Sima

    Since I start using English as official language in my social platforms I feel more confident and energetic

    Waoh, very impressive and wonderful spirit, keep it up guys learning process is endless one, though matter of practice is so essential to you for definiteness learning.
  5. Counsellor Sima

    Umafia, ubabe na ujasusi wa biashara za Kariakoo

    Kuna ukweli mkubwa sana...niliwahi ingia restaurant moja mwaka 2015 Kariakoo ili nipate menu..japo vyakula vingi Kariakoo huwa sipendi coz mm spiritually kidogo nipo counscious, tuliletewa wali na nyama pale....baada ya kuanza kula nikagundua ule wali sio wali bali ni mchele, yani ni kama...
  6. Counsellor Sima

    Mtoto wa Binamu yangu kapotea kwenye mazingira ya kutatanisha

    Very sory, uchawi upo kabisaaa kama hayajamkuta mtu sometimes huwez elewa....was February 2022 mwanangu alipotea na kwenda umbali ambao kwa kawaida hawez kwenda.....nilichotamka baada ya taarifa..coz nilisafir asbh hyo....ilibidi nigeuze niachene na kazi za watu....Kabla ya kugeuza..niliita jina...
  7. Counsellor Sima

    Usilogwe ukaondoka nyumbani na kwenda usipopajua kwa kigezo cha kutafuta maisha

    Jamaa una akili nyingi, lkn changamoto hazituishi na zipo kwa ajili yetu, maliza yako umetupiga na deception moja kali kabisa. Lkn tumekuelewa, hii story hujahadithiwa wala nini ni purely yakwako, ila kwa sababu za privacy umeamua kwenda nasi kwa namna hii. Kama ni chumvi, umeweka kidogo sana...
  8. Counsellor Sima

    Usilogwe ukaondoka nyumbani na kwenda usipopajua kwa kigezo cha kutafuta maisha

    Kaandika realism kabisa ya wanafunzi hasa mwaka wa kwanza....udsm nimesoma..kila angle anayoongelea naielewa....mpaka Bagamoyo nimewah sindikiza pia rafik yangu kwa mganga lkn yeye alikuwa na kesi nyingine.....pure true story....sijui sahv utakuwa na status gani kiongozi...na huogopi id yako...
  9. Counsellor Sima

    Kwenye maisha usiruhusu kila mtu akuzoee ni KOSA kubwa mno pia weka muda maalum wa watu kukupigia simu

    Perfect kabisa, lazima uweke limitation kwenye maisha yako bhana....Nimekuelewa...liwe somo kwa wengine.
  10. Counsellor Sima

    Kuna nchi ukimpeleka mtoto kusoma chuo utajuta

    Miongoni mwa thread zimenivuta leo ni pamoja na hii...ina mafunzo makali sana...na itakuwa ni funzo sana kwa wanaotarajia kupeleka wanao au hata ndugu zao na wao wenyewe kusoma nje ya nchi.....lipo somo wengi watalielewa na kufanikiwa kujifunza kupitia hapa, lkn bado wapo exceptionals wataliona...
  11. Counsellor Sima

    Kuna nchi ukimpeleka mtoto kusoma chuo utajuta

    Naendelea kujifunza mengi, wazazi tuwe makini sana na malezi, mengi yameongelewa lkn kumuandaa mtoto wa kike na kiume kujitegemea ina faida sana kwa maisha yake ya sasa na baadaye. Personally mm ni mwanaume, lkn nafika std seven najua kupika aina mbalimbali za vyakula na mboga zake...
Back
Top Bottom