Habari wadau,
Naomba kufahamishwa kitu kimoja, Mimi nikipata admission kwenda kufanya master University of Texas na tayari nimepata F1 visa last week, ila chuo kitafunguliwa Katikati ya August ninachotaka kufahamu ni je naweza kusafiri 60 days before program state date?
Je kwenye pot of...
ukipiga hesabu ya haraka haraka endapo mtu anakudai elfu 50, na unataka umtumie apate elfu 50 kama ilivyo, inatakiwa uwe na ziada ya 8100, kiwango ambocho ni kikubwa sana, yani gharama ya kutuma, gharama ya kutolea na kodi ya uzalendo iliyopendekezwa na ndugu zungu.
Mh Waziri Ummy Mwalimu Yapata mwezi na nusu sasa mfumo wa makato ya mishahara ya watumishi wa manispaa ya Ilala na Temeke haifanyi kazi, kiasi kwamba watumishi walio katika hizo manispaa wanaotaka kuchukua mikopo wamekwama yapata mwezi na nusu sasa, tunaambiwa system ya RASSON imeharibika, hivi...
Kumbuka maneno ya Prof Assad, Bunge dhaifu, spika dhaifu sana... Tanzania halijawahi kua na bunge kama hili la Ndugai tangu tupate uhuru, ata mama Anna Makinda alijitahidi kwa mbali sana compare na huyu Mgogo
Msukuma for Presdency 2025, twendeni na msukuma kwa nafasi ya Rais wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania kwa maendeleo ya kweli, Chagua ccm chagua Msukuma, tujenge Tanzania mpya.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.