Recent content by costatido

  1. costatido

    Naomba connection ofisi ya utumishi wa umma

    Wakuu naomba mtu atakayeweza kunipa connection pale ofisi ya utumishi wa umma. Nataka nipate mtu pale anisaidie kupush jambo langu la uhamisho/kubadili kada
  2. costatido

    Msaada wa connection ya kufika Uswiz (Switzerland)

    Wadau naomba mwenye kunisaidia kunipa connection. niweze kwenda Uswiz (Switzerland). Lengo ni kupata mtu atakaye nipokea ili niweze kupata kazi huko iwe unskilled job au semi skilled job. Pia Ni namna gani mchakato wa kwenda huko unafanyika hapa bongo na gharama za nauli zikoje hadi huko...
  3. costatido

    Kijana unayehangaika kutafuta mchongo wa kufanya pitia hapa, utakuja kunishukuru

    Kaka mimi mgeni kwenye jf nimejaribu sana kukuchek pm message hazitoki nimekuja hapa live naomba msaada wako, nisaidie list yA hizo bidhaa na mimi nijaribu mama nna maisha magumu sana na sioni cha kufanya mtaani. Kama hutojali nichek kwa 0684090993/0744428503. Mungu akutunze kaka.
Back
Top Bottom