Recent content by costa doncway

  1. C

    Ni jambo jema kumshukuru Mungu

    MUNGU akutangulie lakini Mimi ndo mwaka WA kwanza nahitaji ushauri wako zaidi
  2. C

    HESLB yatoa majina ya mikopo awamu ya tatu 2017/2018

    Jaman Mimi nimepewa boom tu na sina hela ya kuanzia angalau semester MOJA wadau mchango wenu
  3. C

    Jinamizi la meals & accomodation kwenye mikopo 3rd batch

    Naenda kulipa direct cost au hyo ada kwnz
  4. C

    Jinamizi la meals & accomodation kwenye mikopo 3rd batch

    hongera sana kakaze has a sisi wengine cjui inakuwaje hata sielewi
  5. C

    Jinamizi la meals & accomodation kwenye mikopo 3rd batch

    kwahiyo unaniambia ada tayar wamelipa chuoni au?
  6. C

    Jinamizi la meals & accomodation kwenye mikopo 3rd batch

    napata shida kwa jinsi gani nitaweza kupata hiyo pesa kuanzia semester mkuu
  7. C

    Jinamizi la meals & accomodation kwenye mikopo 3rd batch

    Ahsante sana ngoja nijaribu kufanya hivo kwa msaada wa MUNGU tutashinda
  8. C

    Jinamizi la meals & accomodation kwenye mikopo 3rd batch

    Jaman wanaJF hivi kuna ukweli wowote kuhusu wanafunzi waliopata mkopo 3rd batch mbona karibu wote wamepewa meals&accommodation tu NA ada hatujalipiwa Mimi nakaribia kukata tamaa ya kusoma jaman naombeni mchango wenu juu ya hili Shime kwenu wakuu
  9. C

    HESLB yatoa majina ya mikopo awamu ya tatu 2017/2018

    Me mwenyewe hvohvo hata sielewi kabisa
  10. C

    HESLB yatoa majina ya mikopo awamu ya tatu 2017/2018

    Duh nazd kupata kizunguzungu cjui ntafanyaje ushaur ili nikamalizie usajili chuon nami kwetu mkoani hata cielew
  11. C

    HESLB yatoa majina ya mikopo awamu ya tatu 2017/2018

    Duh nazd kuchanganyikiwa cjui ntafanyaje hapo ushaur plz
  12. C

    HESLB yatoa majina ya mikopo awamu ya tatu 2017/2018

    Ahsante mkuu hata HVO mana itanisaidia kufany usajil
  13. C

    HESLB yatoa majina ya mikopo awamu ya tatu 2017/2018

    Me kwenye account yangu iko Kwa mwenye uelewa naomba npate ufafanuzi inakuaje mana Mimi hof in ada tu ili nikajisajil chuon
Back
Top Bottom