Safari hii tutaenda visiwa viwili, Kwahiyo ndege tutapanda mara mbili kutoka Dar - Moroni, then baadae tutaenda Adjouan na tutakaa wiki nzima.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Karibu ujiunge nasi katika ziara ya kufanya biashara nchini Comoro katika sector za kilimo na mifugo pamoja na bidhaa za viwandani.
Ziara itafanyika kuanzia tarehe 28th Jan - 4th Feb.
Gharama za usafiri ni Usd 1000 (2.3 M za kitanzania)
Sent from my iPhone using JamiiForums
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.