yalikuwa 6 nakumbuka nilijibu yote vizr ili kuazia swali la tatu kila ninavojibu walikuwa wanacheka i think walikuwa wananipima confidenc but nilikuwa najiamini kwa ninachojibu pia ukienda kwenye oral usiwe na expection kubwa yani ukizani utaulizwa kile ambacho umeambiwa na watu wengi kuwa mara...
yani nilishafanya oral tayar ila juz hapa nimeingia kwenye account nikukuata wemeandika selected lakini iyo selected imekuja juz hapa na mm oral nilifanya tarehe 7/2/2022 sasa hapo nikwamba iyo selected it mean what
Stage of data analysis in research
1) Data editing
2) data coding
3) data entry
4) data processing
5) data cleaning
6) exploratory data analysis
7) modeling and algorithms
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Components of a research design
1) Type of information need to address the research problem
2) Deciding on the overall design
3) Measurement design
4) Forms for data collection
5) Sampling plan
6) Data analysis plan
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.