Recent content by Cortana

  1. C

    JamiiForums Tanzania Dkt. Magufuli apata wadhamini Mtwara

    Songa mbele kamanda!
  2. C

    JamiiForums Tanzania Nyota ya Magufuli, Muhongo ni zaidi

  3. C

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe (2004): Dkt. Magufuli aliahidi na kutimiza lami kutoka Mtwara mpaka Bukoba

    Kuhusu madeni Raisi alisema yatalipwa kabla hajaondoka madarakani, nakuu katika hotuba yake juzi juzi:
  4. C

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe (2004): Dkt. Magufuli aliahidi na kutimiza lami kutoka Mtwara mpaka Bukoba

    Ni bahati mbaya tu mipango wakati mwingine ni vigumu kwenda na malengo, lakini si vibaya kusema imechelewa ila mradi unaanza kuliko hakuna kitu kabisa!
  5. C

    JamiiForums Tanzania Kama CCM wana dhamira ya kuondokana na siasa za makundi, Team Lowasa na Membe wasiingie tano bora

    Magufuli kiboko ya wala rushwa mizani:
  6. C

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe (2004): Dkt. Magufuli aliahidi na kutimiza lami kutoka Mtwara mpaka Bukoba

    Flyaover ya TAZARA imeshasainiwa huko Japan na Dsm - Chalinze ipo mbioni, huna jipya lete lingine mkuu.
  7. C

    JamiiForums Tanzania Magufuli awatumia Wahandisi wa Serikali kumtafutia wadhamini wa urais CCM

    VIJIMAMBO: Dkt. Magufuli apata wadhamini lukuki Mkoani Dodoma
  8. C

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe (2004): Dkt. Magufuli aliahidi na kutimiza lami kutoka Mtwara mpaka Bukoba

    WANANCHI sasa wataweza kusafiri kutoka Mtwara hadi Bukoba kwenye barabara ya lami. Hotuba hii ni kipindi Raisi Mkapa alipokuwa anaweka jiwe la msingi mradi wa barabara ya Nagurukuru kwenda Mbwemkulu yenye urefu wa kilomita 95 mwishoni mwa mwaka 2004.
  9. C

    JamiiForums Tanzania Sudan Kusini wafanya ziara ya mafunzo kubadilishana uzoefu na watendaji wa sekta ya ujenzi nchin

    SUDAN KUSINI WAFANAYA ZIARA YA MAFUNZO YA KUBADILISHANA UZOEFU NA WATENDAJI WA SEKTA YA UJENZI NCHINI Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Eng. Joseph Nyamhanga (wa kwanza kulia), akizungumza na viongozi wa ujumbe wa Serikali ya Sudan Kusini waliomtembelea ofisini kwake jijini Dar...
  10. C

    JamiiForums Tanzania TANROAD usingizi Fofofo, Rwanda kuisaidia Tanzania kujenga barabara

    Lusahunga – Rusumo/Nyakasanza – Kobero (150): Lengo la mradi huu ni kufanya usanifu wa kina wa barabara hii yenye urefu wa kilomita 150 kwa ajili ya kuanza kuikarabati kwa kiwango cha lami. Kazi za usanifu wa kina zimekamilika chini ya ufadhili wa Benki ya Dunia. Benki ya...
  11. C

  12. C

  13. C

  14. C

    Lusahunga – Rusumo/Nyakasanza – Kobero (150): Lengo la mradi huu ni kufanya usanifu wa kina wa barabara hii yenye urefu wa kilomita 150 kwa ajili ya kuanza kuikarabati kwa kiwango cha lami. Kazi za usanifu wa kina zimekamilika chini ya ufadhili wa Benki ya Dunia. Benki ya Maendeleo ya...
Back
Top Bottom