Recent content by Cornwallis

  1. Cornwallis

    Mpaka leo hakuna theist aliyeweza kuthibitisha Mungu yupo, cha ajabu bado wanatuhubiria Mungu wao

    Hapo sijasema uthibitishe. Unaposema Mungu yupo ila huwezi kuthibitisha, umejuaje yupo? Hili swali mbona limekuwa gumu kueleweka?
  2. Cornwallis

    Mpaka leo hakuna theist aliyeweza kuthibitisha Mungu yupo, cha ajabu bado wanatuhubiria Mungu wao

    Yani unaleta hoja, hauielezei unaiacha hewani, halafu unanipa mimi hiyo kazi?
  3. Cornwallis

    Mpaka leo hakuna theist aliyeweza kuthibitisha Mungu yupo, cha ajabu bado wanatuhubiria Mungu wao

    Kama hayo yote yanajulikana, mtu anafikiaje kuhitimisha Mungu yupo? Swali langu lina base hapo.
  4. Cornwallis

    Mpaka leo hakuna theist aliyeweza kuthibitisha Mungu yupo, cha ajabu bado wanatuhubiria Mungu wao

    Unajua kifo kipo sababu viumbe hai wanakufa. Acha kuleta analogy mfu. Nimesema sawa, huwezi kuthibitisha yupo, umejuaje sasa kuwa Mungu yupo? Au mawazo yako ndio unataka kuyalazimisha yawe fact?
  5. Cornwallis

    Mpaka leo hakuna theist aliyeweza kuthibitisha Mungu yupo, cha ajabu bado wanatuhubiria Mungu wao

    Kichwa cha uzi kimeandikwa mungu hayupo? Unajua kusoma? Umejuaje Mungu yupo?
  6. Cornwallis

    Je, ni kweli huyu Declan Rice ana thamani ya paundi milioni 100?

    Rice ni mzuri ila 100m arsenal kapigwa [emoji23]
  7. Cornwallis

    Mpaka leo hakuna theist aliyeweza kuthibitisha Mungu yupo, cha ajabu bado wanatuhubiria Mungu wao

    Mfano wako ni mbovu sababu umeujenga katika dhana mbovu, ume assume kifo na uhai ni kama package au entity fulani ambazo zinaingia na kutoka, which is wrong, mfano mfu. Pia hakuna mahala nimesema kitu kama hakijathibitishwa kuwepo maana yake hakipo. Yawezekana kabisa kitu kikawepo lakini...
  8. Cornwallis

    Mpaka leo hakuna theist aliyeweza kuthibitisha Mungu yupo, cha ajabu bado wanatuhubiria Mungu wao

    Wewe hujui hata hizo five senses unazoongelea bado zinaweza kutoa taarifa isiyo sahihi. Unaweza kuona au kusikia vitu ambavyo kiuhalisia havipo. Hakuna anaye base kwenye uthibitisho wa five senses pekee. Logic ina play part pia kwenye uthibitisho. Kama utaweza kuthibitisha uwepo wa Mungu...
  9. Cornwallis

    Mpaka leo hakuna theist aliyeweza kuthibitisha Mungu yupo, cha ajabu bado wanatuhubiria Mungu wao

    Nani kataka amuone kwa macho? Unapoona neno uthibitisho we unajua ni kuona tu?
  10. Cornwallis

    Mpaka leo hakuna theist aliyeweza kuthibitisha Mungu yupo, cha ajabu bado wanatuhubiria Mungu wao

    Wasituletee mahubiri yao, ndio point ya uzi. Sasa kama mtu anakuja kunimezesha imani zake ambazo mimi naona ni ujinga unataka nimkubalie tu?
  11. Cornwallis

    Mpaka leo hakuna theist aliyeweza kuthibitisha Mungu yupo, cha ajabu bado wanatuhubiria Mungu wao

    Mawazo ya watu yapi? Uwepo wa radio waves unategemea mawazo ya mtu? Tufanye nimekubali ni mawazo ya mtu, vyote nilivyokwambia hapo vinathibitishika nje ya mawazo ya hao watu. Wewe umethibitisha roho ipo? Unaweza kuithibisha nje ya mawazo yako? Thibitisha.
  12. Cornwallis

    Mpaka leo hakuna theist aliyeweza kuthibitisha Mungu yupo, cha ajabu bado wanatuhubiria Mungu wao

    Mwanzo wangu ni pale ambapo sperm ya baba iliungana na yai la mama kuunda zygote. Kuhusu mwanzo wa uhai bado hakuna maelezo ya moja kwa moja na yenye evidence zinazojitosheleza kuhusu namna inorganic compounds zilivyo evolve mpaka kuunda organic matter ambazo zikaunda cells and so on. Bado...
Back
Top Bottom