Wewe Acha upumbavu kudanganya watu. Wakati wa utawala wa waarabu kulikuwa na njia tatu za biashara zilizohusisha biashara ya watumwa. Njia ya kati kutoka panic mpaka Lake zone, Njia ya kusini na njia ya kaskazini ambayo ilipeleka uislamu Moshi.
Hebu staafu ulinde heshima ambayo ulishainyea. Mwanaume unakuwa kinyonga hivyo. Ulijitengenezea credibility kubwa huko nyuma lakini njaa na uchawa unakuweka ktk kundi ambalo utasahaulika haraka sana Mungu atakakapotwaa roho yako. Chawa promax
Hivi Paschal una jinsia ngapi? Ni juzi tu ulisema maamuzi ya mkutano mkuu yalikiuka katiba ya hao unawaowalamba miguu Leo unasema wako sahihi. Nakushauri ustaafu kwa hiyari ili hata familia yako isome historia tukuka ya ulichokifanya wakati ukiwana akili timamu
Wewe hujawahi kununua umeme unalishwa tu. Ukinunua umeme kila mwezi unakatwa 2000 au 1500 .Mwezi wa 6 walikata hilo deni limetoka wapi?
Mimi wamechukua 7500 wakati miezi ya nyuma yote wanakata
Nilvyosoma heading tu nikajua ni bandiko la kichaa au mtu anayeweza kumweka bond mwenza wake. Tujitahidi tabia za ndani zisiwe Public. Hata mtoto akisoma hili bandiko lako atajudge hana mzazi.
Hii siasa itaendelea kutengeneza janga kubwa kwa watoto wetu.Vigezo viwe kwa wote private au gvt. Wote walifanya mtihani mmoja priority za selform zizingatiwe
Naomba kupewa vipimo vya mpumbavu kwa sababu mjinga ni mtu ambaye hajaelimishwa lakini ukielimishwa na ukaendelea kuwa ka mwamshambwa basi tusubiri kuzika nguruwe aliyechacha
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.