Niende moja mwa moja kwenye pointi.
Kampuni ya Azam Media ni kati ya kampuni ambazo zinahitaji marekebisho makubwa sana kwenye idara ya huduma kwa wateja. Kwanza kabisa mteja kwao si mfalme kabisa yaani wanatreat wateja kama vile wanatoa huduma yao bure.
Ni siku ya pili sasa ukijaribu kulipia...
Habari wanajamvi. Naamini niko sehemu sahihi ya kuweza kupatiwa msaada wa tatizo langu. Wife amejifungua kama mwaka mmoja hivi, sasa kuna nyama imeota kama kamkia katika sehemu ya haja kubwa. Mimi na yeye tumejadiliana na kukubaliana kwenda hospitali ili kufanyiwa operation ndogo. So ombi langu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.