Kijana mwenye adabu kamwe awezi kukaa kwenye kiti iwapo kuna mzee kasimama, iwe kwenye daladala au sehemu nyingine, na hii ni kulingana na hii ni kulingana na utamaduni wetu wa kitanzania, lakini utamaduni huu unapokosa mipaka na kusambaa kila nyanja ya maisha ndipo ugeuka tatizo kama ilivyo leo...
Picha kutoka shirikisho la vyama vya watu wenye ulemavu Tanzania.
Mungu hajakosea kumfanya kila mmoja wetu jinsi alivyo,japo kati yetu kuna walemavu ambao huwa na matatizo au upungufu wa kimwili ,kiakili au kihisia ambao huwafanya kushindwa kufanya baadhi ya shughuli kwa njia ya kawaida...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.