Recent content by conoralbert

  1. conoralbert

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Steve Nyerere: Kusimama mbele ya Rais na kusema kuwa unamdai sio 'Heshima'

    Huyu Steven ni kati ya ndezi na vibaraka wa serikali hii ovu. Serikali hii inapenda watu weupe kichwani tu.
  2. conoralbert

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Bodi ya Mikopo ya Vyuo Vikuu (HESLB) inatuweka Wanachuo katika wakati mgumu sana kwa kutotuwekea fedha

    Shida ni hao viongozi wa kuhamasisha hawapo siku za hivi Karibuni hakuna kiongozi wa chuo ambaye hayupo UVCCM wote ni watu wenye mawazo mgando. Mfano mwaka 2023 kulikuwa na mgombea uraisi IFM mwenye ushawishi sana ila ilipogundulika kuwa ni mwanachama wa Chadema students organization (CHASO)...
  3. conoralbert

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Bodi ya Mikopo ya Vyuo Vikuu (HESLB) inatuweka Wanachuo katika wakati mgumu sana kwa kutotuwekea fedha

    Katika hali ya kushangaza mfululizo wa hali ya ucheleweshwaji wa malipo ya pesa ya kujikimu na chakula kwa wanafunzi wa vyuo Vikuu imekuwa ni jambo la kawaida sana kufanywa na Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu HESLB. Tunaomba kila mwenye ushawishi asaidie kupaza sauti juu ya hili. Updates...
Back
Top Bottom