Recent content by confusion

  1. C

    JamiiForums Tanzania SISI WOTE NI WABAYA KWA NAMNA MOJA AMA INGINE-WE ARE ALL EVIL

    Mpaka Enlightenment ni mchakato out of that you can play someone's else GAME Mpaka enlightenment kivipi?
  2. C

    JamiiForums Tanzania SISI WOTE NI WABAYA KWA NAMNA MOJA AMA INGINE-WE ARE ALL EVIL

    we are inherently both and neither at time
  3. C

    JamiiForums Tanzania SISI WOTE NI WABAYA KWA NAMNA MOJA AMA INGINE-WE ARE ALL EVIL

    Uovu ni asili yetu
  4. C

    JamiiForums Tanzania SISI WOTE NI WABAYA KWA NAMNA MOJA AMA INGINE-WE ARE ALL EVIL

    Shida ni kwamba ujinga wenyewe mpaka ujue ni ujinga Na kila mtu ni mjinga kwa jambo asilolifahamu.
  5. C

    JamiiForums Tanzania SISI WOTE NI WABAYA KWA NAMNA MOJA AMA INGINE-WE ARE ALL EVIL

    Ndiyo Electrocution
  6. C

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kufungua jicho la tatu(3rd eye chakra)

    Muladhara ya kufungua ndio mengi Na sio kila mtu anapaswa kulifungua
  7. C

    JamiiForums Tanzania SISI WOTE NI WABAYA KWA NAMNA MOJA AMA INGINE-WE ARE ALL EVIL

    WE ARE ALL EVIL
  8. C

    JamiiForums Tanzania SISI WOTE NI WABAYA KWA NAMNA MOJA AMA INGINE-WE ARE ALL EVIL

    Habari wanajf, Nimekuwa nikitazama mambo jicho la nini ni sahihi na sio nani ni sahihi? Na kufahamu sababu yeyote ile inayokufanya kuwa sahihi (in moral sense) ,ndio sababu hiyo hiyo inayokufanya usiwe sahihi. Kwa sababu ili jambo liwe Zuri kwako inabidi likufurahishe wewe? Lakini tunasahau...
  9. C

    JamiiForums Tanzania "Ndiyo ninachagua ila sababu zangu za kuchagua zinachaguliwa"-UHURU WA KUCHAGUA NI UDANGANYIFU

    Ukiwa kweli una uhuru wa kuchagua, ungeweza kuchagua iwapo ungekuwepo au la Si tu kwamba ungeweza kuchagua iwapo ungekuwepo au la, bali ungeweza pia kuchagua sifa zinazokufafanua, kama vile utu (personality), ujuzi (skills), tabia (traits), na mambo ya nje kama vile familia, utajiri, n.k. Yote...
  10. C

    JamiiForums Tanzania Hivi nini maana ya neno "Tajiri"

    Habari wanaJF Hili ni moja ya neno mtambuka na lenye utata sana. Mtu amepata vihela kidogo hata havizidi million 100 utasikia ni tajiri. Je utajiri ni kuendesha gari,kujenga ,afya ama nini?
  11. C

    JamiiForums Tanzania Kwa kifupi: Hakuna mtu aliyezaliwa na nyota inayomfanya awe bora kuliko mwenzake

    Mpira usingekuwepo hao Ronaldo na messi wangekuwa wanafanya nini? Hapo wanachotofautiana ni muda wanauweka ,hisia na kadhalika Hakuna kitu kama kipaji
  12. C

    JamiiForums Tanzania Kesho (Tomorrow) and jana( yesterday) havipo, unavitengeneza tu kwenye akili yako

    Habari wanajf, kila siku huwa na sema hapa jf. Na leo nitasema kwa mara ya mwisho "ishi sasa (Now) hayo mambo ya kesho ,yatajipambania yenyewe". Matatizo ,maumivu ,na shida zote sio za lazima(unnecessary). Ni kwa sababu hukubaliani na wakati wa sasa (now),kwa sababu wakati wa sasa(now) mara...
  13. C

    JamiiForums Tanzania Maisha unabidi uyape maana maana hayana maana

    Habari wanaJF?, Kuna siku utanielewa kwamba vyote tulivyokuwa navyo ni kwajili ya kujifariji na kuyapa maana maisha . Kwanzia magari,nyumba ,Mke na watoto. Siku vitu hivi ukivipoteza unakosa maana ya maisha kabisa. Ni sababu zipi ambayo zinakufanya mpaka saivi haujajiua? (Nikawa na maana kifo...
Back
Top Bottom