Recent content by concrete jungle

  1. concrete jungle

    NSSF: Kilio kilichokosa ufumbuzi. Wanyonge hunyongwa kimya kimya nchi ikijifanya haioni, sababu ni jambo linalogusa tabaka la waliotengwa na mfumo

    Unachosema ni sahihi lakin tusi-quit kiraisi zipo njia za kupambana haki haipotei inacheleweshwa tu.
  2. concrete jungle

    NSSF: Bila rushwa wananchi wasahau kupata mafao yao ya kukoswa ajira kustaafu kwa wakati

    NAOMBA MWENYE NAMBA ZA BRANCH MANAGER NSSF TEMEKE ANIPATIE AU NAMBA ZA WAZIRI JENNISTER MHAGAMA MAPAMBANO YAMEFIKA SHINGONI HALI HAIELEZEKI TENA
  3. concrete jungle

    NSSF: Kilio kilichokosa ufumbuzi. Wanyonge hunyongwa kimya kimya nchi ikijifanya haioni, sababu ni jambo linalogusa tabaka la waliotengwa na mfumo

    Habarini wakuu, Ninaandika waraka huu nikiwa na maumivu makuu moyoni juu ya mahangaiko na misukosuko tunayopitia waathirika tuliopoteza ajira zetu katika kipindi hiki kigumu na kuamua kufungua madai ili kupata stahiki zetu NSSF tukiamini ndo hazina yetu iliyosalia itakayotukwamua katika kipindi...
  4. concrete jungle

    NSSF Tanzania na mzunguko mrefu wa ulipaji mafao

    jamani mm naomba namba za branch manager nssf temeke miezi inayoyoma kila siku kupigwa kalenda au ata za jenister mwagama
Back
Top Bottom