Ni kijana mdogo, hana miguu lkn anasimama! Hali chakula lkn anatapika! Hana mikono lkn anachapa mtu mpaka analia! Ni mdogo kiumbo lkn hurefuka na kunenepa akifurahi! Ana jicho 1 lkn anaona kwenye giza kuliko mwenye macho2! Anaishi kwenye joto na majani makavu meusi!
Je, Huyu ni nani? nipe (.....)
Ichunge Misingi 6 ya Mafanikio:
(1) Usimchukie Yoyote Hata Kama Atakukosea Vipi.
(2) Ishi Maisha ya kawaida Hata Kama Upo Juu
(3) Tarajia ushindi Hata Kama Mapito ni magumu
(4) Toa maamuzi yako hata kama utashawishiwa
(5) Onesha Tabasam Hata Kama Moyo Unavuja Damu
(6) Usiache Kuwaombea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.