Kwani bei gani wanataka uwalipe? Ninavyofahamu Mimi shipping line agents lazima uwalipe kiasi fulani hapa bongo, hizo ni hela tofauti kabisa na freight charges mliokwisha lipa. Sasa bosi ni bora ulipe mapema utoe mzigo wako otherwise utashindwa kuutoa storage charges zinapozidi kuongezeka...
Asante kwa ushauri hapo juu, kubeba mizigo ya watu inahitaji usimamizi wa mahesabu au kumsimamia Dereva kila siku. Binafsi sina kampuni ya uchukuzi, lakini nilikuwa nataka kukodisha kwa mtu binafsi au kampuni yenye kuhitaji matumizi ya pick up ila tuwe na mkataba wa muda mrefu.
Wana JF Mimi nina Pick Up Truck tani 1 used lakini in a very good shape. Natafuta mfanyabiashara au kampuni inayohitaji kukodisha. Contracts ya kudumu kuanzia mwezi na kuendelea.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.