Mimi Roma cjakusoma mlitupwa kwenye dimbwi la maji. Mlipopata fahamu mkagundua mpo ununio badala ya kwenda polisi moja kwa moja mkaenda kwanza nyumbani kubadilisha nguo wakati ilitakiwa kwanza mlipoti police halafu ndo mambo mengine yafuate. Ndio maana Kati ya waliokua wanapiga kelele mpatikane...
Kama Roma hatosema alikopelekwa bado tutakua na maswali ya kujiuliza ila sina shida kuhusu hilo maana naamini hip-hop ni kusema ukweli na namwamini Roma atazingatia nguzo hiyo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.