Nakusalim kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Mh kwanza ongera na kazi katika harakati za kulipambania taifa, hasa kwenye suala la afya. Mh sisi ni wahudumu wa afya ngazi ya jamii, kutoka Mkoa wa Kagera, Wilaya ya Bukoba Manispaa, tulifanya uhamasishaji wa jamii kuhusu jinsi ya...
BUKOBA MANISPAA
KAGERA ,TANZANIA
Nakusalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. : Kwanza Hongera na kazi katika harakati za kulipambania Taifa hasa kwenye secta ya AFYA hapa nchini.
Sisi ni wahudumu wa afya ngazi ya jamii, kutoka MKOA KAGERA wilaya ya BUKOBA MANISPAA tulifanya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.