Mkuu sijawahi kusikia kama kuna uwezekano huu lakini kwa jinsi ninavyofahamu kuna baadhi ya codes wanatumia watu katika simu zao kama hataki usumbufu anaweka code hio kwa namba unayotaka wewe na anapokupigia simu inakata haisemi chochote lakini wewe kule unaona anavopiga
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.