Mtu kuitwa kiongozi, ngazi ya urais, hekima, busara, uvumilivu, utulivu, kufanya mambo kwa weledi uliojaaa utu wema kwake sio shida, hatafuti urais kwa vyovyote vile hata kupitia dirishani bali anachaguliwa na kwa asilimia zaidi ya 80, bali yy ni kazikazi. Huyo ndio rais tunaye mtaka wananchi...